Wapi hukoVijana sio kwa ubaya ila kwa Dunia yasasa kama unajijua una Wivu au hasira ni bora ukajiweka mbali na Ndoa au mahusiano ya kimapenzi.
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha jamaa akimchoma visu mkewe baada ya kumfumania na mwanaume mwengine (INATISHA). Nimeshindwa kuipandisha video yote hapa JF kwasababu najua ni lazima wataufuta huu uzi.
View attachment 2912126
Jini Mahaba upo?Hilo ndezi na lenyewe walikate dhakari yake.
Hii video ukiangalia km ulikuwa na mihaadi na mke/mume wa mtu na namba unablock.Vijana sio kwa ubaya ila kwa Dunia yasasa kama unajijua una Wivu au hasira ni bora ukajiweka mbali na Ndoa au mahusiano ya kimapenzi.
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha jamaa akimchoma visu mkewe baada ya kumfumania na mwanaume mwengine (INATISHA). Nimeshindwa kuipandisha video yote hapa JF kwasababu najua ni lazima wataufuta huu uzi.
View attachment 2912126
Mama ako mzaziJini Mahaba upo?
Walikate vip wakati mwanamke alikuwa malaya.Hilo ndezi na lenyewe walikate dhakari yake.
Hahaaaaa, ulipotea Jini Maimuna.πππππMama ako mzazi