Jamaa amchoma visu Mke wake baada ya kumfumania

Jamaa amchoma visu Mke wake baada ya kumfumania

Tuhimize uaminifu ktk mahusiano,viongozi wa dini kwa nafasi zao wazee kwa nafasi zao sisi ma-bro kwa nafasi zetu na huko kote tunaposhauriwa tuwe wepesi kuzingatia.

Hakuna option nyengine kama kuoana lazima watu waoane au lazima watu wawe wapenzi so siyo kitu rahisi kuzuia mambo kama haya.
Hiyo imeshafeli tuhimizee kataa ndoa tu , tudonoane kisha ,kila mtu arudi kwake.
 
Hiyo imeshafeli tuhimizee kataa ndoa tu , tudonoane kila mtu arudi kwake.
Hiyo ndiyo itakuwa balaa zaidi kama unaona hapo ulaya watoto wa kiume wanatamani wawe na jinsia za mama zao hii ilitokana na wengi kutolelewa na wazazi wote so ukisema tuige mwisho nchi itajaa mashoga hii.
 
Kwa haraka haraka huyo mwanamke kachomwa kisu cha shingo, kichwa na kifuani.teyari ni marehemu
 
Hilo ndezi na lenyewe walikate dhakari yake.
😂😂😂 Nimechekelea kinomanoma nimekumbuka kule Njombe, Makete daah Maisha haya alafu Jana kuna jamaa anaomba ushauri kwamba mke aliezaa nae anamwambia hamtaki sababu ana maumbile madogo, ndio afume njemba inafumua Malinda mkewe km hivyo hapo ni kuchongeana majeneza tu na kuchimbiana makaburi hakuna namna kutombewa kunauma yaan Mwanaume mfanyie yote Ila usimtombee mkewe, wewe hata km ana mtoto wa kike ameshakua mtu mzima lala nae Ila kulala na mkewe ni big NO
 
Hiyo ndiyo itakuwa balaa zaidi kama unaona hapo ulaya watoto wa kiume wanatamani wawe na jinsia za mama zao hii ilitokana na wengi kutolelewa na wazazi wote so ukisema tuige mwisho nchi itajaa mashoga hii.
Toto likiamua kuwa hivyo linakua tu ata kama linalelewa na baba na mama .
 
Nchi gani hio?
Nchi gani hio?
Jina la mwanamke huyo ni Fiorela Lizeth Diaz, awali aliolewa na muuaji. Aligundua kuwa mume wake wa zamani, Elmer Lucano Llanos, alikuwa akimvizia, na akaendelea kuweka kamera za CCTV nyumbani kwake. Mnamo Julai 17, 2021, alivamia nyumba yao walipokuwa katikati ya ngono wakiwa na hasira, akiendelea kuwachoma kisu Diaz na mpenzi wake, Jorge Malca, na kumjeruhi mwanamume huyo na kumuua kikatili Diaz. Alidungwa kisu hadi mara 40, akifa kwenye eneo la tukio (mchunguzi wa afya akisema alivuja damu hadi kufa, maisha yake yakionekana kutoweka sekunde chache kutoka mwisho wa video).


•Llanos baadaye alikamatwa na kupewa maisha kwa kosa la mauaji ya wanawake, akilazimika kulipa soli 1M (ambayo ni karibu $275,000 USD) kwa familia ya Diaz, na miaka 13 iliyoongezwa kwa jaribio la kumuua Malca na kuamriwa kulipa soli $30,000 (karibu $8,600 USD) mwanaume. Pia alikatazwa maisha kuwaona watoto wake. Ikiwa hiyo haitoshi, serikali pia iliongeza miaka sita ya ziada kwa kifungo cha Llanos pamoja na shtaka la soli za $1,000 ($30 USD) kwa kuasi serikali.


•Kwa sasa anatumikia kifungo chake cha maisha katika gereza la El Milagro de Trujillo. Nitatoa kiungo, ingawa yote ni kwa Kihispania. Ikiwa unaona kwenye video, anaweka blade kwenye mbavu zake, na kumlazimisha kupiga kelele.


La Libertad: Cadena perpetua para hombre que asesinó a su expareja
 
Vijana sio kwa ubaya ila kwa Dunia yasasa kama unajijua una Wivu au hasira ni bora ukajiweka mbali na Ndoa au mahusiano ya kimapenzi.

Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha jamaa akimchoma visu mkewe baada ya kumfumania na mwanaume mwengine (INATISHA). Nimeshindwa kuipandisha video yote hapa JF kwasababu najua ni lazima wataufuta huu uzi.

View attachment 2912126
Aliyemla Mke yeye ikoje?
 
Back
Top Bottom