Imempendeza kondoo aliyepotea kurudi nyumbani kwa Baba ..
John Wolfe ameamua kuokoka na kumrudia Mungu ,anayo mengi ya kujutia lakini anaishia kusema alipotea kwa tamaa za kimwili ameamua kurudi nyumbani .
View attachment 1310939amefunua kurasa akaona hazina maana ,ngoja nirudi kwa Baba,
Jamaa ameamua kuwa mfunuaji mzuri vitabu vya kiroho,baada ya kuchoshwa na kurasa za vitabu vya kimwili.
Ameona akimtumikia shetani mwisho wake atapotea katika umauti .
Sauti ya Bwana imemuita na ameisikia Njooni kwangu ninyi nyote wenye masumbuko na kulemewa na mizigo mizito ua dhambi nami nitawapumzisha .Mathayo 11:28
John sins ..
Je unalo la kujifunza hapa.?