Jamaa ameamua kumtumikia Mungu ,ameachana na uchafu

Jamaa ameamua kumtumikia Mungu ,ameachana na uchafu

Imempendeza kondoo aliyepotea kurudi nyumbani kwa Baba ..

John Wolfe ameamua kuokoka na kumrudia Mungu ,anayo mengi ya kujutia lakini anaishia kusema alipotea kwa tamaa za kimwili ameamua kurudi nyumbani .
View attachment 1310939amefunua kurasa akaona hazina maana ,ngoja nirudi kwa Baba,
Jamaa ameamua kuwa mfunuaji mzuri vitabu vya kiroho,baada ya kuchoshwa na kurasa za vitabu vya kimwili.

Ameona akimtumikia shetani mwisho wake atapotea katika umauti .

Sauti ya Bwana imemuita na ameisikia Njooni kwangu ninyi nyote wenye masumbuko na kulemewa na mizigo mizito ua dhambi nami nitawapumzisha .Mathayo 11:28

John sins ..

Je unalo la kujifunza hapa.?
Kwani alikuwa ana jihusisha na makitu gani
 
Mbona unanitisha love unataka nisirudi nyumbani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe naogopa kifyanzio changu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Usiogope love mbona kifanyio hata mimi mwenyewe bado nakihitaji [emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiogope love mbona kifanyio hata mimi mwenyewe bado nakihitaji [emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8][emoji8][emoji8][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
IMG_20200103_115530.jpg
moja ya kazi zake ...
 
Back
Top Bottom