Jamaa ameenda kudai figo kwa mke wake aliyomchangia baada ya kuachana

Jamaa ameenda kudai figo kwa mke wake aliyomchangia baada ya kuachana

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Daktari wa upasuaji wa New York, Dk Richard Batista aliushangaza umma alipomtaka mkewe aliyeachana naye amrudishie figo aliyokuwa amemchangia au amlipe fidia ya dola milioni 1.5 ambayo ni sawa na 3,906,109,089/= ya kitanzania

Soma pia: NILIMPA FIGO YANGU

Screenshot 2025-08-15 050612.png

Huko nyuma mwaka wa 2001, Batista alimpa mke wake, Dawnell, figo yake, alipokuwa akipambana na kushindwa kwa figo kali, Lakini ndoa yao ilivunjika miaka mingi baadaye na Dawnell akawasilisha kesi ya talaka mwaka 2005 kwa ombi la kisheria la kudai arudishiwe figo yake

Ingawa sheria inasema kuwa michango ya viungo inachukuliwa kuwa zawadi isiyoweza kutenduliwa na haiwezi kurejeshwa au kuthaminiwa kifedha, lakini ombi la hisia za Batista lilizua maswali magumu.

Je, michango kama hiyo yapasa kuzingatiwa katika mapatano ya talaka?

source -successaffair
 
Nikajua haya mambo yapo tu huku kwetu Africa kumbe na kwa wazungu pia yapo.

Mimi nataka Yule Njeri anirushie memory card yangu niliompa kipindi kile tunadate before tuachane
 
Huku bongo tunanyanganyana tisheti tukiachana
 
Huyo ndio muitaliano mwenyewe sasa. Apewe figo yake au pesa.
 
Back
Top Bottom