JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
hakuna namna ameuziwa mbuzi kwenye gunia,,,,pole yakeNi jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye Ameniambia kuwa amegundua mke wake alikua anaifanya dhambi ya sodoma na gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before use)kabla ya ndoa
Nimetumia tafsida kuna watoto humu
sasa anawaza afanyaje ?amwache mke au alisongeshe life?nimeleta kwenu wanajamvi tuone tunamsaidiaje huyu mheshimiwa kwan ana stress sana
Nimesikitika sana hii taarifa okey karibuni
Kwa hiyo unashauri watu wafanye uzinzi kwanza kabla hawajaoana?...Ni jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye Ameniambia kuwa amegundua mke wake alikua anaifanya dhambi ya sodoma na gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before use)kabla ya ndoa. Nimetumia tafsida kuna watoto humu sasa anawaza afanyaje ?amwache mke au alisongeshe life?nimeleta kwenu wanajamvi tuone tunamsaidiaje huyu mheshimiwa kwan ana stress sana. Nimesikitika sana hii taarifa okey karibuni
Mkuu haujaelewa thread inasemaje,soma tena na tena ili ueleweKwa hiyo unashauri watu wafanye uzinzi kwanza kabla hawajaoana?...
Mhhh......[emoji45] [emoji45] [emoji45]uko kwa Eva vipi???? bado kuzima???
Aiseeee.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Atoe ushamba wake hapa, kwani ajabu kutumia line mbili ya voda na tigo
Mkwepa kodi ongezea na airtel siku hizi nayo ni ruksa wanakula na koniAtoe ushamba wake hapa, kwani ajabu kutumia line mbili ya voda na tigo
uko kwa Eva vipi???? bado kuzima???
Watoto tumeelewa mwambie akomae nae tu hakuna namnaNi jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye Ameniambia kuwa amegundua mke wake alikua anaifanya dhambi ya sodoma na gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before use)kabla ya ndoa
tunamsaidiaje huyu mheshimiwa kwan ana stress sana
Nimesikitika sana hii taarifa okey karibuni