Jamaa ameoa binti bila(shake well before use)baada ya ndoa amegundua mkewe ameharibiwa

Jamaa ameoa binti bila(shake well before use)baada ya ndoa amegundua mkewe ameharibiwa

Kwani huyo jamaa nae alikua bikra! Kama nae alishaingia huko anamshangaaje huyo mwenzie
 
Mkuu kuna msemo heri ukosee kujenga nyumba kuliko ukose kuoa. Huo msemo una maana kubwa sana. Kosa lisha fanyika kiapo asha kula hana budi kuendelea na ndoa yake koz makosa yapo na yana fanyika. Akomae tu ila iwe funzo kwa wengine tujifunze kutokana na makosa

Unabusara nimekupenda bure
 
Kama amekula kile kiapo cha kwenye shida na raha, ndio ajue kuwa huo ndo msalaba wake.
 
  • Thanks
Reactions: 247
Ni jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye Ameniambia kuwa amegundua mke wake alikua anaifanya dhambi ya sodoma na gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before use)kabla ya ndoa
Nimetumia tafsida kuna watoto humu
sasa anawaza afanyaje ?amwache mke au alisongeshe life?nimeleta kwenu wanajamvi tuone tunamsaidiaje huyu mheshimiwa kwan ana stress sana
Nimesikitika sana hii taarifa okey karibuni
Pole yao
 
Hivi kwa mfano,ulikuwa unamuigizia binti kuwa una maisha mazuri kumbe ni msanii na muongo,hauna gari ulikuwa unatumia ya rafiki yako,hauna nyumba ilikuwa ni nyumba ya ndugu yako,hauna kazi wala mishe mjini ulikuwa unapiga mishe tu za udalali mjini, yaani kwa kifupi ni kabwela mtanashati tu.

Hawa wanawake wa sasa kwa haiba na mitazamo yao,wadhani ataweza kubakia na wewe eti amekusamehe mpange maisha upya?😂😂😂

Jibu unalo. Kwamba wanawake wapo very serious kwenye kusimamia standards zao na hawafikirii mara mbili kusepa na kuanza upya,ila wewe unafikiria mara mbili pale wanapokwenda kinyume na standards zako.

Sasa mwanamke ameingiliwa kinyume na maumbile,huyo ni mwanamke mwenye tabia ya nzuri na inayokubalika hadi uendelee kuishi nae?

Piga chini tafuta mali mpya,wanawake wanaojielewa wapo kibao huku nje wewe unakaa na takataka.
 
Ni jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye Ameniambia kuwa amegundua mke wake alikuwa anaifanya dhambi ya sodoma na gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before use)kabla ya ndoa

Nimetumia tafsida kuna watoto humu, sasa anawaza afanyaje ?amwache mke au alisongeshe life?

Nimeleta kwenu wanajamvi tuone tunamsaidiaje huyu mheshimiwa kwani ana stress sana

Nimesikitika sana hii taarifa okey karibuni
Duh! Inasikitisha
 
Kama anatumia kwa bibi nyau amejuaje mkewe ametumika kwa mpalange?
 
Back
Top Bottom