Jamaa ameoa binti bila(shake well before use)baada ya ndoa amegundua mkewe ameharibiwa

Jamaa ameoa binti bila(shake well before use)baada ya ndoa amegundua mkewe ameharibiwa

wakae chini waongee, au waende kwa counselor, ili huyo mwanaume asamehe na mwanamke aache hiyo tabia kuinusuru NDOA yao coz unaweza kukuta hata huyo mwanaume alikuwa anawafanyia hivyo wanawake wengine sema tu dudu halionyeshi kwa macho
 
Duh..ampeleke Hospitali tu akashonwe..
Kale kanyama huwa kanakatwa baass!au kama inashindikana na tayari ni mkeo wa ndoa kuna plug za plastic unamchomekea kule halafu wewe unaendelea na ndoa yako.
 
Wanaume gani nyie wambea hivyo?
Rafiki yako kakwambia na wewe ukayabeba ukayaleta huku mfyuu

Tell him to man up na aongee na mke wake wajue ni nini watafanya ndoa ni yao hiyoooo
 
Wanaume gani nyie wambea hivyo?
Rafiki yako kakwambia na wewe ukayabeba ukayaleta huku mfyuu

Tell him to man up na aongee na mke wake wajue ni nini watafanya ndoa ni yao hiyoooo
Umeolewa?
 
MKuu,Kwann usiseme Tu Kuwa ni wewe Ndo mkeo ana malinda..

OKEY kwa kuwa umemuoa komaa nae Tu.Jitaidi kumtafutia dawa ya kurudisha malinda
 
Duu, pole kwa usufumbufu. Sasa yeye atajuaje kama hayumo JF. Hizi maada za kuleta kwa njia hii zinaletaga ukakasi. Au ni wewe ni mwenyewe sema tu ulipata "A" ya Kiswahili CSEE umeamua kutumia tafsida kama ulivyokiri mwenyewe kha khaaa, natania tu mkuu ngoja waje wataalamu
 
Polee sana aysee inauma mwache tuu aende dhake [emoji23][emoji23][emoji23]usijichumie dhambi bwana mdg [emoji276][emoji276]
 
Sijui kama ataacha kuutumia mtandao pendwa hiyo ndo shida sasa

Pole Sana Mkuu
 
Mwambie jamaa akomae kibishi maana wanaume tumeumbiwa mateso na mateso ndio kama hayo siyo kitu kingine
 
Ni jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye Ameniambia kuwa amegundua mke wake alikua anaifanya dhambi ya sodoma na gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before use)kabla ya ndoa
Nimetumia tafsida kuna watoto humu
sasa anawaza afanyaje ?amwache mke au alisongeshe life?nimeleta kwenu wanajamvi tuone tunamsaidiaje huyu mheshimiwa kwan ana stress sana
Nimesikitika sana hii taarifa okey karibuni
Mtu huyo bila shaka ni wewe mwenyewe. Any way kama umefunga ndoa yako kanisani basi hiyo ndiyo kuvumiliana katika raha na shida. Lakini kama ni wa msikitini bado unayo fursa ya kuongeza kitu kingine tulizo la moyo wako. Ila samehe saba mara sabini.
 
Usipoitumia hiyo sehemu kwa shughuli hiyo chafu baada ya muda itakuwa sawa tu. Ila sasa hapo itategemea na utulivu wake huyo Wife maana waswahili wana msemo "Mazoea hujenga Tabia" akimis hiyo kitu kwako anaweza kwenda kuitafuta nje. NI CHANGAMOTO
 
Back
Top Bottom