Jamaa ameoa binti bila(shake well before use)baada ya ndoa amegundua mkewe ameharibiwa

Jamaa ameoa binti bila(shake well before use)baada ya ndoa amegundua mkewe ameharibiwa

Kwanini unukuu sehemu ndogo ya sentensi yangu kisha ufanye conclusion? Isome sentensi nzima utaelewa nilichokusudia... hata wewe siyo lazima uchangie posti yangu kama hujaelewa concept yangu...
Mimi nimeelewa kuwa wewe hujaelewa... 🙄🙄🙄
 
Ni jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye ameniambia kuwa amegundua mke wake alikua anaifanya dhambi ya Sodoma na Gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before use)kabla ya ndoa. Nimetumia tafsida kuna watoto humu sasa anawaza afanyaje? Amwache mke au alisongeshe life? Nimeleta kwenu wanajamvi tuone tunamsaidiaje huyu mheshimiwa kwan ana stress sana

Nimesikitika sana hii taarifa okey karibuni!
Ye kajuajee
 
Inabidi ayajue madhara ya kufanya hivyo pia mshauri ampeleke kwa mwanasaikolojia ili aweze kumjenga
 
Aliwezaje kugundua kama na yeye cyo mdau wa hayo mambo(tgo),,,hapo inabidi aendelee kuishi na mkewe ila jambo lamsingi inabidi ampe ushauri mkewe juu ya madhara ya 0712,,, ili wasije wakaingia tena kwenye hiyo dhambi.
 
Mwambie aache ushamba ndoa itamshida jambo dogo kama hilo anashindwa kuvumilia sasa siku akipikiwa ugali mbichi si ndiyo atauwa kabisa
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!!! Kwa hiyo hili dogo ila ugali mbichi kubwa????? Utakuwa mshirika si hivi hivi.......
 
Mwiteni yule mtunza Bk post ya juu hapo, ndo maana wanaume hawapendi kuuziwa Mbuzi kwenye gunia
 
Labda unieleweshe, maana nimeona mambo mawili ndani ya posti moja: 1. kwamba kaoa bila 'shake well before use' (ukimaanisha angefanya kwanza ngono kumjua huyo mkewe kabla hawajaoana), na 2. ana stress, hivyo anahitaji counseling...

Sasa labda hoja yako hapa ni ipi?
Huyo jamaa anajuta kuwa angeduu before ndoa angejua matatizo hayo na asingemuoa huyo dada
 
Inasikitisha sana...

Kwa sababu haja "Shake well before use" kakuta kitu kime expire ni hasara yake..


cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom