Jamaa amfungukia mange baada ya kuendelea kumdiss zali.

Huyo mjibuji nae kiazi tu....

Hiyo sayansi yake ya kukongoroka kaitoa wapi???

Kukaa na mwanaume anayekudhalilisha ndio ujasiri??? Ndio maana wengine wanapigwa mpaka wanatiwa ulemavu.kisa wafe kijasiri???

Hawataki kuachika kisa atawaoa nani? Ndoa ndio mwisho wa maisha kwa mwanamke? Kwamba asipoolewa jua halitoki mvua hazinyeshi wala koo halipitishi chakula????

Kwa hiyo kucheat ni sifa?????


Pyeeeee

Anyway nilikuwa napita tu
 
[emoji106]
 
Mange ni misery, kuna msemo unasema;
Misery loves company!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…