Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu akikujibu na mimi nitag.Huyo jamaa aliyefunguka ndiyo wewe mleta mada??
[emoji106]Huyo mjibuji nae kiazi tu....
Hiyo sayansi yake ya kukongoroka kaitoa wapi???
Kukaa na mwanaume anayekudhalilisha ndio ujasiri??? Ndio maana wengine wanapigwa mpaka wanatiwa ulemavu.kisa wafe kijasiri???
Hawataki kuachika kisa atawaoa nani? Ndoa ndio mwisho wa maisha kwa mwanamke? Kwamba asipoolewa jua halitoki mvua hazinyeshi wala koo halipitishi chakula????
Kwa hiyo kucheat ni sifa?????
Pyeeeee
Anyway nilikuwa napita tu
Kuna application ya Instagram downloaderSamahan mleta maada iv ukitaka kusevu picha inster unafanyaje maana huwa nashindwa
Zari nitafute please
Nenda inbox yake ya Insta huko mtawasiliana vizuri.au mwenye simu yake please
Nenda inbox yake ya Insta huko mtawasiliana vizuri.