Jamaa amnunulia Mke wake Sex Toys

Jamaa amnunulia Mke wake Sex Toys

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu,

Leo wakati tupo tunagonga moja mbili kuna jamaa akasema kamnunulia Mkewe Sex Toys ili awe anajiridhisha mwenyewe akiwa amesafiri kikazi.

Jamaa ni Mfanyabiashara na huwa anasafiri mara kwa mara muda mwengine hata Mwezi hayupo kwake. Hili suala limenifanya nijiulize maswali ambayo nimeona niwaulize na nyie pia.

Je jamaa anafanya jambo sahihi kumnunulia Mkewe Sex Toys?
 
Are you serious? Umesoma biology hata kidogo wewe? Sehemu ambayo inatoa kiumbe kizima unadhani atatanuliwa na sex toy kweli?
Utanuzi wa K ni utayari wa maumbile ya Kiumbe tumboni kuratibiwa na homoni za kike ili kurahisisha kiumbe kizaliwe, mbali na hapo ni hadithi za Uledi na Juma tu, kwanini K isitanuke kiwango hicho hicho Ke akiwa Mjauzito na tayari kujifungua kwa siku zote hata baada ya kujifungua?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,
Huu ndio uhalisia wa Watanzania.
Ukitaka kupata wachangiaji anzisha mada za ngono.

Bongo kuna mtu alisema kutoboa ni rahisi fanya vitu vya kijinga wengi lazima wafuatilie na pesa utaipata.
Refer mwijakuz
 
Back
Top Bottom