Jamaa amnunulia Mke wake Sex Toys

Wewe unaonaje!?... Yuko sahihi!?
 
Huyo jamaa yko ni pilipilihoho na km ni ww ila unazungushia story kwa mwingine pia ni pilipilihoho tu
Wewe na huyo jamaa yako ni kitunguu na nyanya katakata kachumbali agiza limau tunaweka na dagaa nyasa tunakula na ugali mtaaamu halafu safari ya kwenda chooni inakuwa imewadia.
Basi unachukua shoka na kwenda kukata gogo.
 
ni sawa ni makubaliano yao
 
Kesho mke akiwa sugu usianze kulialia.
Vitu vingine ni ajenda za watu tu
 
Story za vijiweni wote wamekutana watanzania. Na sidhani kama wanakazi za maana. Hamna msnge anaweza kumwambia mwenzake tena mbele za watu eti nimemnunulia sex toys mke wangu.
Unajua maana ya mke. Hii chai.
 
Kutoa Siri za faragha nao ni ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…