Jamaa ana roho mbaya sana

Jamaa ana roho mbaya sana

super black

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
566
Reaction score
533
Leo nimeenda kusaga mahindi
Nikamwita we msagaji

Nashangaa nipo nyumbani navuja damu, watu wamenizunguka, majirani wanasema yule jamaa ndio ana roho mbaya hivi ?

Sijui ni nini kinaendelea me nipo zangu tu nimelala siwezi hata kunyanyuka

[emoji22][emoji22][emoji22][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakupa haki yako. Kuna siku nilinunua vocha dukani nikamwambia mwanadada muuzaji niingizie- akabaki anacheka tu, kumuuliza mbona wacheka akasema njoo uingize mwenyewe
 
Utakuwa ulipigwa keleb ukazi100.......
 
Hahaha Hahaha loooh mbavu zangu mie
 
Back
Top Bottom