Jamaa anaitwa Mohamed ameibiwa watoto 2 saa 12 jioni na mfanyakazi wa ndani Wilaya ya Temeke

Kuna watu wanajifanya wako bize sana.
Kila kitu wanamwachia Housegirl.
Mkuu huwa nashangaa sana sijui hii ni akili ya namna gani tu.
Nyumba umeijenga kwa gharama kubwa umezaa watoto halafu by saa12 asbh unamuachia mdada wa kazi watoto wako wee unarudi saa2 usiku.Kipi cha muhimu kati ya watoto na kazi asee. huwa unawaza kama mimi asee.Yani naumia kana kwamba hao watoto ni wangu asee
 
Vipi na mdada amekamatwa? Na ametoa maelezo gani juu ya kutokomea na watoto hawa?
Hata hawajaongea chochote wamesema tuu waliitwa wakawachukue kituo cha polisi labda watakuja na habari ya kilichojiri...
Kikubwa ni kushukuru tuu na furaha nadhani wakikaa wakitulia ndo watawaza watafute kujua chanzo
 
Hata hawajaongea chochote wamesema tuu waliitwa wakawachukue kituo cha polisi labda watakuja na habari ya kilichojiri...
Kikubwa ni kushukuru tuu na furaha nadhani wakikaa wakitulia ndo watawaza watafute kujua chanzo
 
Tanzania watu wanarahisha mambo mno. Mtu anayekaa na watoto wako kila siku ni mtu anayetakiwa kupitia vetting kali sana. Huwezi kuletea tu mtu na ukampokea hivi hivi.
 
Nilihisi tu ni haya mambo ya uchaguzi, aiseee, mimi ningekuwa nanyonga watu wenye makosa ya aina hii, ikidhibitika tu umeshiriki kuteka mtoto, nakunyonga kwenye mataa ya kuongozea magari, kisha nakuacha uozee hapo iwe fundisho
Kabisa.
Ina maana huyo mganga angewaua na wasingeonekana kamwe.
Hii dunia haina usawa.
Na ukute huyo mfanyakazi ana mtandao wa kuteka watoto kwa ajili ya makafara.
Ni kunyongwa hadharani kwa kweli
 
Watoto wa siku hizi ni shida wala sio mambo ya malipo
Nimeletewa huyu juzi kafika siku hiyohiyo alekuwa mwenyeji remote kamiliki yeye alafu sasa hana habari kazi yake kulala tu
Muelekeze pole pole usimfokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…