Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Sana tuUmewahi kuwa na mabinti wa kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tuUmewahi kuwa na mabinti wa kazi?
hapo umerahisishiwa tu sehemu ya kuanzia likitokea lolote kama hili.
Mkuu huwa nashangaa sana sijui hii ni akili ya namna gani tu.Kuna watu wanajifanya wako bize sana.
Kila kitu wanamwachia Housegirl.
Wameshapatikana jamani
Wana upele mkuuWamepatikana wakiwa katika hali gani?
Vipi na mdada amekamatwa? Na ametoa maelezo gani juu ya kutokomea na watoto hawa?Wana upele mkuu
Hata hawajaongea chochote wamesema tuu waliitwa wakawachukue kituo cha polisi labda watakuja na habari ya kilichojiri...Vipi na mdada amekamatwa? Na ametoa maelezo gani juu ya kutokomea na watoto hawa?
Hata hawajaongea chochote wamesema tuu waliitwa wakawachukue kituo cha polisi labda watakuja na habari ya kilichojiri...
Kikubwa ni kushukuru tuu na furaha nadhani wakikaa wakitulia ndo watawaza watafute kujua chanzo
Tanzania watu wanarahisha mambo mno. Mtu anayekaa na watoto wako kila siku ni mtu anayetakiwa kupitia vetting kali sana. Huwezi kuletea tu mtu na ukampokea hivi hivi.Kama alivoeleza uyo baba wa watoto anasema mdada amekaa naye siku 3 tu, akatoka na watoto akawaambia anaenda nao dukani, from there akazima simu, hata waliomuunganisha kumpata huyo binti wa kazi anasema wote hawapatikani, kwaivo anahisi ni kama ndo mpango wake ulikuwa
Nilihisi tu ni haya mambo ya uchaguzi, aiseee, mimi ningekuwa nanyonga watu wenye makosa ya aina hii, ikidhibitika tu umeshiriki kuteka mtoto, nakunyonga kwenye mataa ya kuongozea magari, kisha nakuacha uozee hapo iwe fundisho
Kabisa.Nilihisi tu ni haya mambo ya uchaguzi, aiseee, mimi ningekuwa nanyonga watu wenye makosa ya aina hii, ikidhibitika tu umeshiriki kuteka mtoto, nakunyonga kwenye mataa ya kuongozea magari, kisha nakuacha uozee hapo iwe fundisho
Watoto wa siku hizi ni shida wala sio mambo ya malipoDuh wapatikane wazima
Muwe mnawalipa vizuri wafanyakazi wa ndani msiwanyanyase
Muelekeze pole pole usimfokeeWatoto wa siku hizi ni shida wala sio mambo ya malipo
Nimeletewa huyu juzi kafika siku hiyohiyo alekuwa mwenyeji remote kamiliki yeye alafu sasa hana habari kazi yake kulala tu
Kabisa kabisa kabisaKweli kabisa. Ni hatari iliyofichika. Kuigundua siyo rahisi
Huwa sifoki ila naona hajui hata kilichomleta zaidi ya kulala kila maraMuelekeze pole pole usimfokee
Mpe mudaHuwa sifoki ila naona hajui hata kilichomleta zaidi ya kulala kila mara