Jamaa anaitwa Mohamed ameibiwa watoto 2 saa 12 jioni na mfanyakazi wa ndani Wilaya ya Temeke

Jamaa anaitwa Mohamed ameibiwa watoto 2 saa 12 jioni na mfanyakazi wa ndani Wilaya ya Temeke

Kama alivoeleza uyo baba wa watoto anasema mdada amekaa naye siku 3 tu, akatoka na watoto akawaambia anaenda nao dukani, from there akazima simu, hata waliomuunganisha kumpata huyo binti wa kazi anasema wote hawapatikani, kwaivo anahisi ni kama ndo mpango wake ulikuwa
Duuh hatar sana, huyo mfanyakazi alimuokota hana ndugu? Ndio matatizo ya kubeba wafanyakaz wa ndani kiholela.
 
Duuh hatar sana, huyo mfanyakazi alimuokota hana ndugu? Ndio matatizo ya kubeba wafanyakaz wa ndani kiholela.
Siku hizi wadada wa kazi wanapatikana kwa agents wa huko vijijini wanwatafuta mabinti yaan kazi yako kumpa sifa za binti unayemtaka tu, unatuma nauli na posho yake afu anakutumia binti.
 
Kama wamepatikana ni jambo jema isije ikawa huyo mfanyakaz alipotea njia ya kurudi home maana siku 3 Bado ana kamba mguuni.
Ndiyo azime na simu ghafla? Inamaana kama ni kupotea angepiga simu wakamuelekeza njia au wakawafuata walipo
 
Ndiyo azime na simu ghafla? Inamaana kama ni kupotea angepiga simu wakamuelekeza njia au wakawafuata walipo
What if kama imezima chaji? Tunazijua vizuri simu za wafanyakaz wa ndani zinavyokuwaga Tena ana siku 3 kutoka kijijini na mshahara usikute anamlipa elfu 30 Kwa mwezi
 
Back
Top Bottom