Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

[emoji849] aisee au karogwa? Mpe pole sana jamaa yako mwambie muda ni tiba atakuwa sawa tu.
 
Mimi nakuaminia mzee wangu

We sio mtu wa mchezo mchezo pia uko deep kwenye ile tasnia pendwa [emoji2]

Kwa leo tuishia hapo

Kama vipi mchukueni dogo nendeni Zanzibar au bagamoyo akaubwage moyo

Badilisheni mazingira
 
[emoji2][emoji2][emoji16][emoji28][emoji28][emoji1]
Mwambie asijiue aje nimpe raha za dunia hadi asahau kama aliwah kukutana na mwanamke mwingine. Ila atanilipa kwa kazi ya kumfanya amsahau huyu manzi wa awali.
 
Huyo mmoja kweli ndiye atuvunjie uaminifu sisi wote?, ni huyo tu asiyejielewa wengine wapo vizuri mkuu, kuwa na imani na sisi[emoji12]
Hahahaha hata nyie watakatifu huwa mnawaliza Rais hivihivi

Mi kwakwelj mimi siwaamini kabisa imani imenitoka

Nachosoma hapa na nachoshuhudia kitaa vinaniogopesha
 
We ishi nae kwa machale tu

Ndio la msingi

Huwa hawaaminiki.
 
Watu wapo kimaslahi.
Ukijitia una mapenzi ya kihindi lazima utoe kamasi.
Aku...
Nimekuwa sugu siku hizi...
Sipendi pendi ovyo.
Nikiandika I love u bas ujue imetokea kwenye ulimi lakini moyoni mkavuuuuu
I wish I could be you!,
Mimi bado napenda kizamani aseheh!napenda halafu napenda tena na nkiwa na mtu nakua committed mpk najiogopa lakini ndo tunaongozwa kuumizwa...

Natamani wanangu wasirithi hii kitu waje kua waje kua wajanja wajanja tu!
Nikisema "I love you" jua mpk moyoni kabisaa...
Na nkiumia naumia nakonda kabisaa yaani mpk usingizi sipati nawaza...Ila ndo hua inakulaga kwetu.

I cab feel that boy yaani namuonea huruma sana hakuna kitu kigumu km psychological torture...!!
 
Ilikiwaje lete habari nzima
 
Nilikuwa napenda hadi napenda tena....ila kuna kitu kizito nilipigwa aseee ndo akili ikafunguka kwamba kumbe dunia ninayoishi sio kabisa kama ya wengine. Siku hizi najiona kama vile nimegraduate....ili ujifunze kazima uumie hadi moyo ufe ganzi ndo utaelewa
 
Mkuu so rahisi kihivyo atamove on ila itachukua muda sana
Dunia ya sasa usije ukapenda kupitiliza utayaacha maisha mapema sana, hata ukiwa na mkeo ishi nae kwa akili akizingua na wewe unazingua ili mkae sawa tena akileta za alifu ulela ulela, hadithi za esopo, wewe unamzoom tu na kufanya mambo ya kiume
 
Kujifanyaga marafiki mpaka mnaunganisha family affairs zenu na wake/waume zenu matokeo yake huwa ndio kama haya...Jifanyen wazungu tu..HAPA STORI TU, KULA KILA MTU KWAKE.
 
Kwa hapa huyo Dada hakumpenda huyo kaka sema kwa kua walikua mbali mbali ndo maana hakua anajaua tabia za msichana wake! Aachane nae itamkosti

Sure nami hili nimeliona amemtumia kama daraja kufikia maisha aliyoyataka
 
Siwezi kuroga kwa sababu ya mwanamke. Roga km mtu kaiba gari yako au hela ila siyo mwanamke. Huyo dogo inabidi afanye sherehe ndogo ya kujipongeza maana angemuoa J angejikuta amepata watoto 3 na wote wa huyo brother wake. Nina ushahidi
Anasubiri nini kujifunza kuroga!
 
Hata wakirudiana mwanamke atakuwa ameshaona mwanya wa kumtawala jamaa. Jamaa hata akirudiana na huyu mwanamke atateseka sana kisaikolojia kwa sababu kusahau tukio kubwa kama hili ni mtihani.
Hilo nalo neno,
mkuu mwanamke keshamchukulia uyu jamaa dhaifu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…