Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Afu wanawake Sijui huwa mnawaza Nini,

Najaribu kuwaza huyu binti kafata nini kwa jamaa maana hata kiuchumi dogo alimpita mbali brother.

Afu ukizingatia jamaa tayar alkua na MKE wake na watoto watano wakubwa kabisa.

Afu anamuacha jamaa Alie single, anaenda kuingilia Ndoa ya Watu na kwenda kuolewa kama MKE wa pili kwa jamaa mwenye MKE na watoto watano.

Natafakari sana Sipati majibu.[emoji848]
WANAWAKE WANAPENDA CHANGAMOTO
NA KUTEMBEA NA WAUME ZA WATU
 
Aisee!! Mpaka nimeogopa. Mtu akikupiga tukio nzito kama Hilo lazima ubaki na athari, inahitajia ujasiri kuamini tena , kama hatokuwa na huo ujasiri hata kuoa huenda asioe tena.
 
Aisee!! Mpaka nimeogopa. Mtu akikupiga tukio nzito kama Hilo lazima ubaki na athari, inahitajia ujasiri kuamini tena , kama hatokuwa na huo ujasiri hata kuoa huenda asioe tena.
Three yrs now, dogo kamove on, Ila suala la ndoa Bado mpk sasa
 
Back
Top Bottom