Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Ni jamaa zangu wawili wameingia katika SINTOFAHAMU kubwa sana kwasababu ya mwanamke,

Nmewaza hapa mpaka kichwa kinaniuma sahivi.
Utoto unawasumbua.....mwambie \dogo atafute hela......manake akitafuta mchumba mwingine kama hana hela jamaa atamuwowa tena mke wa tatu
 
Kuna haja ya kuangalia yumba(familia) unayo enda kuposa au kuanzisha mahusiano nayo.

Angalau iwe na hofu ya Mungu ata kido au iwe familia ye heshima kidogo, utaepuka mambo mengi.
ukabaki unateseka moyoni miaka yote.

Mwisho kabisa Nina swali. Yule binti aliye zaa nae utotoni hadi wakaacha shule,hakufaa kuwa mke wake?. Mtoto aliye zaliwa anamtunza kama inavyo stahili?.
Great thinkers never lose.
 
ONE PERFECT BUT VERY SENSTIVE SOLUTUON..

UKIACHWA TAFUTA REPLACEMENT CHAP HATA KAMA SIO PERFECT, NDIO NJIA RAHISI YA KUJITIBU TU.
KUNA MABINT WENGI SANA WAZURI SANA WAPO DESPERATE MTAANI WATAFUTE HAO NA WAPROMISE MAMBO MAZURI WATAKUPA LOVE UTAMSAHAU HUYO MJINGA MKOJA.

MIMI HATA WIFE AKILETA STRESS TU SIKU MOJA LAZIMA NIIBUKE NA PISI KALI MOJA MATATA KULIKO YEYE AU SINGLE MATHER MOJA MATATA.

MWAMBIE DOGO ASIJIPE STRESS AVAMIE PISI KALI MOJA MATATA ACHILL NAYO UMUONDOE MAWAZO WAKAT ANATAGUTA WIFE MATERIAL.
THEY ARE ALWAYS THERE FOR US!
 
Hao ni wapenzi siku nyingi bila huyu dogo kujua sema sasa hivi wameamua kuhalalisha wamechoka kula gizani, cha muhimu huyu dogo asonge mbele
Hata mimi nimehisi jamaa kaanza muda sana wameona tu wahalalishe.. ila all in all ni mtihani mzito sana kwa dogo, tuishi nao kwa akili Bible imetukanya
 
Afu wanawake Sijui huwa mnawaza Nini,

Najaribu kuwaza huyu binti kafata nini kwa jamaa maana hata kiuchumi dogo alimpita mbali brother.

Afu ukizingatia jamaa tayar alkua na MKE wake na watoto watano wakubwa kabisa.

Afu anamuacha jamaa Alie single, anaenda kuingilia Ndoa ya Watu na kwenda kuolewa kama MKE wa pili kwa jamaa mwenye MKE na watoto watano.

Natafakari sana Sipati majibu.[emoji848]
Jamaa kaanza mahusiano na huyu dada muda mrefu sana na hiki cha kumuoa nadhani ndio gia aliyomuingilia
 
Pole kwake.. niliacha kuwa na marafiki mda sana na mpaka sasa sijapata lawama yeyote.. kama hatuna jambo la muhimu la kufanya uenda biashara au inshu yeyote ya kuingiza pesa unakaa pembeni .urafiki tupu faida yake ndogo sana
 
Kwanza

Dogo amekaa muda mrefu sana na huyo bibie bila ndoa yawezekana likawani kosa kwa huyo mchumba ake maana anaona dogo ni mlaghai.

Pili
Hiyo pisi kali ya dogo imeenda penye inajaaliwa kuliko huko kwa dogo, unaweza usiamini lkn pisi ilimtongoza huyo jamaa yawezekana hata kumfanyia mambo ya nyusi mzee kaingia laini sasa mambo moto.

Tatu
Dogo mwambieni mwanamke siyo mguu wala moyo wake amemkuta akiwa mkubwa tu , mbona wapo wengi tu atapata mzee kajitwalia mwachenj.

Nne

Huyo mzee licha ya kupendwa akapewa tunda kazi aliyoifanya mpaka pisi kali akatamani ndoa siku ileile,

Mwisho
Waume za watu watamu hawana kuchunga sana, pisi kali anapenda kudeka dogo hajui kubembeleza zee ndo kazi yake , mtafaruko ktk game , kanyaga twende mzee baba. Dogo atulize akili hiyo pisi ingemtesa ashukuru Mungu asonge mbele
 
Kiukweli nmejihisi kumchukia Sana jamaa.
Yaani hata wewe akijakisikia yule mchepuko wake kuwa unamkula mdogo wake maumivu yake siyo ya dunia hii

Huyo jamaa msamehe tu kwa kuwa hata wewe ni njia ileile

Lkn cha msingi dogo atafute mke mwingine kabisa . Huyu atamsumbua

Lkn kama dogo alikuwa anaweza fanya kila kitu, kampangishia, kampa usafiri na nk kwa nn asingekuwa amemuoa tu

Wazee hawana kufeli
 
Aisee Uyu jamaa ile trust nae imepotea kabisa.

Sio kwa hizi tamaa za fisi.

na huenda amekua akimtamani shemej yake tangu zamani.
Mwanamke ndiyo aliyemuanza
Amini usiamini ndiyo hivyo

Mzee kaingia cha kike hatoki
 
Jamaa anachojua tangu awali ni kwamba yeye Ndo anatambulika atakuja kumuoa binti yao.

Sidhan kama aliwai kua na ugomvi wowote na wakwe zake maana mwezi wa sita alkua akigharamia matibabu ya mama ake binti pale Ocean road.
Inashangaza sana[emoji848]

Kingine pia
Yupo na dada ake binti Ni mtu wangu wa karibu Sana, na tuna heshimiana sana.

Na juzi nmeonana nae ofsin kwangu.

sema nmeshangaa sana kwanini na yeye kanificha hili suala na inasemekana sikU jamaa anatoa mahali uyo dada mtu alikuepo na ndo alkua mpishi mkuu kwenye shughuli nzima[emoji848].
Nakuambia mwambie dogo afurahie tena sana ni mzigo mzito kautua , kama nyumbani kwao na binti walijua ashachumbia, ilikuwa shart wangeuvunja uchumba ndo akachumbiw tena na kuolewa, hili ni kweli lipo nyumbani kwao na binti .

Tena ashukuru Mungu kweli kweli maana angemuoa hafu hakubariki kwa binti na binti asiwe na ubavu kijana angeteseka sana

All in al

Mwambie atafute mwingine
 
Back
Top Bottom