Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hofu kivipiHauko sahihi
Amwache tu aolewe.
Na nyie mmezidi uchumba miaka 4 mtu mpaka ana hofu hataolewa.
Kwa kweli vijana mshukuru sio watoto wote wa kike wamezaliwa na wanawake wenye akili hii aliyoionyesha madam mwajuma.Mwanamke kafanya uamuzi sahihi 100% Hakuna uchumba wa miaka 4 ni ubabaishaji. Halafu kama yeye amepanga alishindwa nini kuoa wakaendelea kuishi hapo wakimalizia nyumba? Haimaanishi huyo dada kapata mume Bora anaweza achwa baadae ila sio issue angalau alichagua mtu anayetaka kumuoa.
Ya kutokuolewaHofu kivipi
Mmmmmmh hapa pagumu sasa, kwani alishindwa kupanga? Yaan unazidi kutuchanganya wachangiaji wenyewe. Lol
[emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]ndege mjanja....!!!!pale kati patamu!!![emoji851][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo ujanja wote huu unateswa na mapenzi?
Inategemea unamuoa Mwanamke Mwanamke yupi na ana mategemeo yapiSiamini urafiki wa mda mrefu, hilo tu mkuu
Mimi sio muamini wa urafiki wa kudumu
Nilioa nikiwa na miaka 25 baada ya kumjua msichana kwa miezi 2 tu
Leo nina wajukuu
Simcheki dogo wala nini ila nimeongea ninayoyaamini
Sheli kuna kazi nyingi tena ajira rasmi sio kuweka mafuta kwenye gari tuuEti utoke kufanya kazi ua utendaji tarafa kama anavyosema japo ni afisa tarafa, kwenda kufanya kazi sheli ..... daaaaa hatari sana. Kwa usawa huu utoke serikalini uende sheli? Ambayo siku 2 tatu unafukuzwa.
Anyway tumetofautiana
Inategemea unamuoa Mwanamke Mwanamke yupi na ana mategemeo yapi
Sekta binafsi si ajira za kudumu.. siku yoyote unafukuzwa kazi.Sheli kuna kazi nyingi tena ajira rasmi sio kuweka mafuta kwenye gari tuu
Shukran Sana mkuu kwa kuufuatilia vema huu mjadala,Kuna haja ya kuangalia yumba(familia) unayo enda kuposa au kuanzisha mahusiano nayo.
Angalau iwe na hofu ya Mungu ata kido au iwe familia ye heshima kidogo, utaepuka mambo mengi.
Jamaa anaoneka ni mtu mstaarabu kwa mujibu wa maelezo yako. Hivyo basi Mungu amemuepusha na hiyo familia ya kikora. Kwamaana imeandikwa "Bwana atakupa msaidizi wa kufanana wewe" kwaiyo huyo muhuni mwacheni aolewe na muhuni mwenzake.
Jamaa awe na subira miaka 39 bado hajachelewa sana wala hajawai. Amuombe Mungu ampe anayemfaa, mstaarabu kama yeye.
Tokea juzi uzi ulipo anza nilijua kabisa uyo dada anadanganya kuwa kalazimishwa na asingetokea hiyo jioni. Lakini shukuruni hakutokea kwa sababu kuna uwezekano mkubwa kama angepata mualiko huo wa kuonana na nyie, siku tatu kabla au mbili, angewapangia tukio la ajabu kama siyo criminal basis la udhalilishaji.
Hampendi uyo dogo na inawezekana hajawai kumpenda. Kama angekuwa anampenda angemwambia tokea yeye mwenyewe kwa mdomo wake, kuwa rafiki anamtongoza, haiingii akilini adi anafikia hatua ya kuposwa. Huyo dogo ana habari. Alafu anadai kalazimishwa na nyie bado mna muamini na kutaka kuonana naye.
Sheria zipo kulingana na Sheria za ndoa "Marriage Act" dogo anaweza kudai malizake na gharama alizo tumia kipindi cha uchumba wao, ikiwa ni pamoja na zawadi na gharama nyingine kama vielelezo vipo. Ila kwa upande wa kiroho tunashauri aachane navyo na asemehe yaani asibebe manung'uniko moyoni "akomboe nafsi yake" hii njia ya kiroho ndiyo nzuri zaidi. Maana unaweza kutumia sheria ukarudishiwa mali zako lakini ukabaki unateseka moyoni miaka yote.
Mwisho kabisa Nina swali. Yule binti aliye zaa nae utotoni hadi wakaacha shule,hakufaa kuwa mke wake?. Mtoto aliye zaliwa anamtunza kama inavyo stahili?.
Sijajua.,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakwe walikua wanajua hayo mambo?
Hata Iyo kazi alokua akifanya ilkua Ni bosheni tu mwanamke mwenyewe asijiskie vibaya kwasababu hajamuoa bado.Eti utoke kufanya kazi ua utendaji tarafa kama anavyosema japo ni afisa tarafa, kwenda kufanya kazi sheli ..... daaaaa hatari sana. Kwa usawa huu utoke serikalini uende sheli? Ambayo siku 2 tatu unafukuzwa.
Anyway tumetofautiana
Shukran Sana mkuu kwa mchango wako, unafanyiwa kazi [emoji120]Mkuu nisiache na mm kuchangia..moja mbili...
1.Mwambie Huyo Bingwa...Hili nalo Litapita kama mengine yalivyopita
2.Muda ndio Mwamuzi wa Haraka Hapa Duniani..Ampe huyo mwamke muda...Moya wa Dogo ukipona wa mwanamke utaanza maumivu yasioisha
3.Hakuna Urafiki wa namna hiyo wala ukaka huyo ni nyoka na nyoka huwa tunajua tunawafanya nn...asitake mazoea nae
4.hela ndio kila kitu..aitafute kwa hasira sana halafu aoe dem ambae anafaa kuwa mke
5.Ajikaze...Ndio maana kaumbwa mwanaume
Watakua wanajua maana binti yao Mara kibao nmekua nikimkuta saiti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakwe walikua wanajua hayo mambo?
AmekaririSheli kuna kazi nyingi tena ajira rasmi sio kuweka mafuta kwenye gari tuu
Wale wazazi wake Ni wapumbavu,Eeeeeh mbna unatuchanganya sasa, yaan had wadogo zake wanaishi ktk nyumba anayolipa kod dogo, afu wazazi hawamtaki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuh hii kali. Sasa
Ukimwangalia binti alipotoka mkoan akiwa afisa tarafa wa mwaka Jana na sahv akiwa mfanyakaz wa sheli.Sekta binafsi si ajira za kudumu.. siku yoyote unafukuzwa kazi.