Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Ndiyo mkuu haya mambo watu wanayaongelea kijuujuu kwa sababu hawajayapitia. Huyo jama aliyeshauri hivyo unaweza kukuta hajawahi kuwa na mwanamke, ama ni muumini wa nyeto. Kwa hiyo vitu kama hivi kwake anaona kama tamthilia.
Naunga mkono hoja kabisa mkuu[emoji106]
 
Hivi vitu mkuu vinatokana na exposure,malezi na mazingira yanayokuzunguka.

Dogo hakua mtu wa mambo Ayo kabisa, MDA mwingi Yuko bize na mambo ya ofsin kwake, mchumba wake na familia yake.

Hata jf yenyewe haijui,
inauma sana kuwa mwema alafu unatendewa ubaya, the best thing to do ni kukubali hali na kulet it go japo ni ngumu. Kadri atakavyozidi kupambana kumrudisha kwake ndiyo atazidi kuyapalilia maumivu na kuna posibility akagundua mengine yakamvuruga zaidi kabisa. mapenzi mapenzi mapenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 😡
😬😬😬
 
Hata wakirudiana mwanamke atakuwa ameshaona mwanya wa kumtawala jamaa. Jamaa hata akirudiana na huyu mwanamke atateseka sana kisaikolojia kwa sababu kusahau tukio kubwa kama hili ni mtihani.
 
bora akubali yaishe ajiuguze taratibu nna imani akiwa mrahisi kukubali itakuwa rahisi na haraka kupona na kusahau, mapenzi nishayakatia kauli kwa niliyopitia na nayoendelea kuyaona. kuna mda n bora kuwa peke yako.
 
Hakika bro, mapenzi ni uongo binadamu hatujaumbiwa upendo, anaeweza kupenda ni Mungu pekee. Watu wanapigana sana matukio mkuu, na siku hizi watu wanadate kimaslahi.
Cha msingi ni kuwa alone na mambo yako tu.
 
Hakunaga mapenzi ya kweli...huwa tunadanganyana siku zipite tu basi
Hilo nalikataa madam.
Kupendana kupo, ila sema kuchache lakini kupo.

katika wapenzi couples100 waweza kuta couples 5 ndiyo wanapendana ki dhati na waliobaki ni kwasababu ya maslahi binafsi.

Mara nyingi mizani ya upendo huwa haibalansi, anayependa ipo juu, anayependwa ipo chini.

Na ikitokea kubalansi shukuru Mungu, kwa kulilinda na kulithamini sana penzi hilo.
 
Kabisa mkuu, kila mtu ana maslahi yake mwenyewe anapoingia kwenye mahusiano anaona ata benefit nini , usiombee mtu uinvest emotion,time, attention kwake halafu asifanye hivyo in return, maumivu yake hayapimiki and can last llifetime...
 
Hivi vitu mkuu vinatokana na exposure,malezi na mazingira yanayokuzunguka.

Dogo hakua mtu wa mambo Ayo kabisa, MDA mwingi Yuko bize na mambo ya ofsin kwake, mchumba wake na familia yake.

Hata jf yenyewe haijui,
Kwa maana hyo huyu ndo alimbikiri dogo??
Hahaha kama kweli maumivu yake ni kama unachomwa kwenye kaa la moto Moyoni. Tatizo nimetaka nimponye hutaki . Basi pambana na hali yako ila wa kumponya hapo ni Ke na sio Me.
 
Kabisa mkuu, kila mtu ana maslahi yake mwenyewe anapoingia kwenye mahusiano anaona ata benefit nini , usiombee mtu uinvest emotion,time, attention kwake asifanye hivyo in return, maumivu yake hayapimiki and can last llifetime...
Tusipende kuweka matarajio makubwa kwa watu, Mungu pekee ndiyo habadiliki.
"Confidence without clarity is a disaster"
 
Kabisa mkuu, kila mtu ana maslahi yake mwenyewe anapoingia kwenye mahusiano anaona ata benefit nini , usiombee mtu uinvest emotion,time, attention kwake asifanye hivyo in return, maumivu yake hayapimiki and can last llifetime...
Binadamu tumebadilika Dada angu, watu wanaangalia fursa siku hizi. Wana msemo wao "Mkono mtupu haulambwi."
 
Hilo nalikataa madam.
Kupendana kupo, ila sema kuchache lakini kupo.

katika wapenzi couples100 waweza kuta couples 5 ndiyo wanapendana ki dhati na waliobaki ni kwasababu ya maslahi binafsi.

Mara nyingi mizani ya upendo huwa haibalansi, anayependa ipo juu, anayependwa ipo chini.

Na ikitokea kubalansi shukuru Mungu, kwa kulilinda na kulithamini sana penzi hilo.
Sasa umeona ....5 katika 100 ni asilimia ngapi? Tena nakataa kwamba kwa kila couple 20 basi ya kweli ni 1??? Haipogo hiyo. Labda 1000 ndo kuna 5 za ukweli. Siku hizi ukipenda kidhati ni at ur own risk. Naongea kwa uzoefuu. Kuna mijitu mikatili hapa duniani isiyojali utu. Bora nipoe na uncle. Hatusumbuani kabisaa na wala hatuwekeani matarajio.
 
Shukran mkuu,
Dogo alkua mtu POA Sana, alimuamini Sana mpenz wake uyu.

Ila naamini atajifunza kitu kupitia hili Kama ulvosema.

Wengine sisi tushatendwa Sana uko nyuma, mioyo imeshakua sugu kabisa.

Tunaishi kwenye mahusiano Kama Digi Digi TU, tukimtumainia TU mungu.
Lakini huyo shemeji yenu huyo kichwa maji, tayari kajizolea laana ya mwanzo kabisa katika maisha yake ya mahusiano.

Ni kizabizabina asiyekuwa na msimamo na wala hana upendo, hafai kabisa kwa ndoa huyo.

Ndiyo maana si kila mwanamke afaaye kwa ndoa, wengine ni manungayembe asilia, ni kama kwale asiyefugika hata umuwekee gunia la mtama hakai.

Hata kwa huyo rafiki yenu anakokwenda kuolewa mitala, kafuata pesa na si penzi.

Huyo dogo atulize akili, Mungu kamuepushia balaa, afurahi na ajipe moyo kuwa, kuna mwanamke wa maisha yake Mungu atampatia.
 
Kabisa mkuu, kila mtu ana maslahi yake mwenyewe anapoingia kwenye mahusiano anaona ata benefit nini , usiombee mtu uinvest emotion,time, attention kwake asifanye hivyo in return, maumivu yake hayapimiki and can last llifetime...
Watu wapo kimaslahi.
Ukijitia una mapenzi ya kihindi lazima utoe kamasi.
Aku...
Nimekuwa sugu siku hizi...
Sipendi pendi ovyo.
Nikiandika I love u bas ujue imetokea kwenye ulimi lakini moyoni mkavuuuuu
 
Lakini huyo shemeji yenu huyo kichwa maji, tayari kajizolea laana ya mwanzo kabisa katika maisha yake ya mahusiano.

Ni kizabizabina asiyekuwa na msimamo na wala hana upendo, hafai kabisa kwa ndoa huyo.

Ndiyo maana si kila mwanamke afaaye kwa ndoa, wengine ni manungayembe asilia, ni kama kwale asiyefugika hata umuwekee gunia la mtama hakai.

Hata kwa huyo rafiki yenu anakokwenda kuolewa mitala, kafuata pesa na si penzi.

Huyo dogo atulize akili, Mungu kamuepushia balaa, afurahi na ajipe moyo kuwa, kuna mwanamke wa maisha yake Mungu atampatia.
Machozi ya mtu hayajawahi kumuacha mtu salama. Huyu mwanamke atakuja kujuta kipindi ambacho hawezi kubadili chochote.
 
Nakwambia hivi yote yanawezekana anaweza asipatwe na lolote baya tena aishi vizuri tu. Dua la kuku ???
Kikubwa dogo asonge mbele....akiweka kwamba ipo siku atalipa au atarudi akilia na ikatokea hajapatwa na baya na hajalia basi ataishi na stress mda mrefu
 
Back
Top Bottom