Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Mungu awatie nguvu kwakweli tena mfanye maamuzi ya busara ambayo hayatawapotezea mda na rasilimali zenu,kwenye maisha haya mambo yapo sana tuAcha kabisa,
Dogo anajuta miaka mingi kapoteza, fedha nyingi kapoteza
Afu mtu anakuja mtendea hivi.
Ni vitu ambavyo sikwahi tarajia vinaweza mpata mtu
Kina watu humu wanafanya masihara, ila najua wanafanya masihara coz hayajawakuta au kuwakuta wao wa karibu.
Binafsi shughuli zangu nyingi Leo zimesimama kwasababu ya hili suala, na hiyo nafanya sababu uyu dogo ni mtu wangu wa karibu Sana.
Siwezi mtenga katika hili
Kila la kheri