Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Hauko sahihi

Amwache tu aolewe.

Na nyie mmezidi uchumba miaka 4 mtu mpaka ana hofu hataolewa.
Ndo akili za wanawake ndo maana tunapiga na kusepa having shukran hivi viumbe kabisaa yaan
 
Hivi unafikiri kwann walisema tuishi na nyie kwa akili yaan madishii yenu yanasoma chenga muda mwingi sishangai mwanamke kutoka kwa tajiri akadhawishiwa na kimwanaume kodacta akakubalii sio kitu Cha ajabu
 
Hyo alikuwa anakulana n hyo mpumbavu mwenzke mda tu nyie mmejua leo.

Mtafunieni jamaa mkewe kama nyie hamuwezi tafuteni mtu mlipeni ili ndgu yenu aone machungu anayoptia mshkji😄
 
Mwache aende, msimtoroshe wala msimlazmishe kwa vyovyote ..mwacheni aende japo huyo ndgu yako anaumia moyoni...MAUMIVU NI YA MUDA.

Lingine ungeongea na mke wako kirafiki zaidi huenda anajua yanayoendelea kwa huyo wifi ake maana umetuambia walkuwa marafiki sana na mke wako...

Na mwisho kabisa kuwa karibu sana na rafiki yako asje kujifanyia mabaya, kisha utupe mrejesho yanayoendelea mpaka rafiki yako atakapokuwa sawa...
 
Shukran Sana kwa ushauri wako dada angu
 
Hyo alikuwa anakulana n hyo mpumbavu mwenzke mda tu nyie mmejua leo.

Mtafunieni jamaa mkewe kama nyie hamuwezi tafuteni mtu mlipeni ili ndgu yenu aone machungu anayoptia mshkji[emoji1]
One day, He will pay this.
Jamaa kajitenga na jamii yake nzima ktk hili suala alilomfanyia dogo.

Wengi Sana wamemchukia ktk hili
 
Wife nae anaona Kama surprise,
MKE wangu sidhan Kama angeweza kunificha hili maana Ni muwaz Sana kwangu.

Yeye anahisi uyu binti atakua karogwa you, sio AKILI ya kawaida maana hata hajawahi hisi chochote Kati yao happy kabla.
 
Hivi unafikiri kwann walisema tuishi na nyie kwa akili yaan madishii yenu yanasoma chenga muda mwingi sishangai mwanamke kutoka kwa tajiri akadhawishiwa na kimwanaume kodacta akakubalii sio kitu Cha ajabu
Yaan kwa wanaomjua dogo au ukimlinganisha na brother

Kuanzia mwonekano, uchumi ,caring n.k yaan Ni MBINGU na ardhi,

Sijui wanawake huwa wanafikiria nn vichwan mwao sometimes [emoji848]
 
Ashukru Mungu kwa yaliyotokea,Wala Haina haja ya kulazimisha amtangulize Mungu mbele ,afanye maisha yake mengine Kuna kitu kikubwa sn Mungu kamiepusha nacho
 
Nitumie namba ya huyo dogo inbox nimshauri direct maana asije akaaga dunia please mkuu Kama ishu iko serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…