Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Huyo mwanamke halazimishwi yeye mwenyewe ndio anataka kuolewa na huyo bwana
 
Sahii kabisa mkuu Aizna

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nikopeshe Tv. Serious naongea mkuu. Jumatatu iliyopita wezi wamekata madirisha,wamechomoa TV tu. Wametupiga nyumba nne.

Nyumba zote tulizopigwa wanaume tulienda msibani mkoa mwingine. Kote wamefungua vizuri tu aluminum bila kuvunja kioo,then wakakata fratbaa
 
Huyo mwanamke ni mnafiki tu, alishawahi kumwambia jamaa kuhusu familia yake kuwa anasumbuliwa juu ya yeye kuhusu ndoa, then huyo mwanamke anapata kila kitu kutoka Kwa mwamba lakini Yeye hajaona vyote halafu anasema shinikizo kutoka kwa familia yake. Dogo anatakiwa apige chini na wala asiwe na mawazo yoyote kuhusu huyo mwanamke kwani hana mapenzi ya kweli.
 
Mapenzi sanaa.

 
Imepita takribani miaka 3 sasa, DeepPond tupe mrejesho wa kilichoendelea.
Shukran sn Kwa hii kumbukizi kaka,
Ni kwamba hakuna kilichobadilika,

Brother alimuoa yule dada na Sasa Wana Mtoto wa kiume kabisa.

Dogo aliamua kusonga mbele na maisha yake,Yuko kwny mahusiano mengine kwa sasa, japo amekua mtu WA kuchagua na kukosoa wanawake Sana.
 
Dada kamuachia donda lisilopona, na uhusiano wenu na bro ukoje??
 
Vipi kuhusu mahusiano yenu nyie brothers watatu yapoje kwa sasa, bado mnashurikiana au mlitengana?
 
Kataaa ndoa oyeeee
 
Women are loyal to there feelings
 
kwa ufala huu na ajamtia mimba dogo acha apokonywe

alionesha udhaifu mapema


***** wamemshenyenta, hawa ndo wanafanya sisi kuonekana hatujui hudumia

mwambie mm ni mmoja nnae furahia mateso yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…