Jamaa aoa wake 3 wa kizungu, aombwa asifanye kazi yoyote akae nyumbani kwa ajili ya kuwastarehesha kitandani

Jamaa aoa wake 3 wa kizungu, aombwa asifanye kazi yoyote akae nyumbani kwa ajili ya kuwastarehesha kitandani

Mcanada

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
982
Reaction score
1,942
nick.jpg

4577497.jpg

Huko nchini Marekani Mwanaume aliyeoa wake watatu amepata umaarufu na kutajwa kuwa mfano wa mwanaume mwenye familia bora iliyoshikamana na wake hao watatu wanaoishi kwa amani na mume wao ambaye siku zote hubaki nyumbani wakati wake zake wanatoka kwenda kufanya kazi.

Mkewe wa kwanza alifunguka kuwa mwanamume huyo anachoka sana kuwahudumia kitandani na hivyo basi wamekubaliana kama familia kuwa wampe muda wa kupumzika.

Nick Davis anasema hahitaji kwenda kazini kwani yeye ndiye mfalme na malkia wake wana mamlaka yote.

Toka ameoa wake zake hao watatu Nick anabaki nyumbani huku wake zake watatu, April, Danielle na Jennifer, wakitoka kwenda kazini, chombo cha habari cha Mirror kiliripoti.

Chanzo: Mirror
 
Back
Top Bottom