Jamaa kafunguka

I reserve my trust kwa hayo maneno.

ila kama yametoka kwa huyo ambae inaonekana ni account yake sishangai maana Kuna akili ya ubongo wa fleva.

Ni matumaini yangu kwamba celebrity anakuwa na lifestyle inayolinda ucelebrity wake.
 
huyu alieandika ivyo ni diamond huyuhuyu au??? mbona!????
 
I reserve my trust kwa hayo maneno.

ila kama yametoka kwa huyo ambae inaonekana ni account yake sishangai maana Kuna akili ya ubongo wa fleva.

Ni matumaini yangu kwamba celebrity anakuwa na lifestyle inayolinda ucelebrity wake.
aaah wa kibongo mbona kawaida sana
 
Shauri zake kama ni yeye kaandika maana hata mama yake naona kama ni mwembamba vilee...
 
Uyu alikua anamzunguzia kimwana wake heaven on desert
 
Shauri zake kama ni yeye kaandika maana hata mama yake naona kama ni mwembamba vilee...
aisee kila mtu na mtazamo wake pia kwenye mapenzi mana mi wembamba ndo ugonjwa wangu
 
Sasa kama ndio hivyo mbona anapenda kudate na vimodo? Au ni wakuuzia sura tu?
 
aisee kila mtu na mtazamo wake pia kwenye mapenzi mana mi wembamba ndo ugonjwa wangu

ktk hili tuko pamoja mkuu,mimi sipendi wanawake wanene kabisa,napenda vimbayuwayu ambavyo vikiwekwa kwenye upepo mkali unaweza kusema vitabebwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…