Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo alikuwa anamzungumzia Halima Kimwana nini...
aaah wa kibongo mbona kawaida sanaI reserve my trust kwa hayo maneno.
ila kama yametoka kwa huyo ambae inaonekana ni account yake sishangai maana Kuna akili ya ubongo wa fleva.
Ni matumaini yangu kwamba celebrity anakuwa na lifestyle inayolinda ucelebrity wake.
huyu alieandika ivyo ni diamond huyuhuyu au??? mbona!????
aisee kila mtu na mtazamo wake pia kwenye mapenzi mana mi wembamba ndo ugonjwa wangu
Sasa kama ndio hivyo mbona anapenda kudate na vimodo? Au ni wakuuzia sura tu?