Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 817
- 1,752
Hela yenyewe ndogoJamaa ni bodaboda hapa Dar es salaam, juzi kaenda na boda yake mpaka Serena Hotel ili akatoe nuksi a.k.a kuushitua umaskini.
Kaagiza Biriani 40,000 na soda ya Mirinda kwa sh. 6500 jumla kuu ikawa sh. 46000.
Kapanda boda karudi kijiweni kwake na kuanza kujisifu.
A few moment later akaanza kujutia 46k yake.