The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hahaha! BOSS usicheke sana pia achana na jf, huu ni muda wa kazi,sio kwamba nakupangia,ni ushauri tu coz nyie ma BOSS ni wa muhimu sana.Hii post imenichekesha sana asubuhi hii, nipo kazini mpaka msaidizi wangu ananiuliza boss kuna nini mbona unacheka mwenyewe.
Sijakuelewa mkuu, maana mimi sikuenda kwenye shule za Mam and DadUnderstood but not well Noted by gambling doers.
Kwa hakika sikupenda hii ishu niilete huku JF kwa sababu inahuzunisha tena kwa mtu mzima mwenye familia na majukumu chungu nzima halafu apoteze 3m (bonge la mtihani)...so nimeleta huku ili wale wenzetu mnaobeti sana mpate kujifunza namna ya kubeti kistaarabu.
Story kamili ipo hivi, Jamaa Yetu (sana) aliamua kujilipua kwa kuweka bets (mikeka) 10 @Sh.300,000 na yote ikaliwa juzi na jana. Hapa ninavyoandika jamaa ameshazimia zaidi ya mara tano na kuzinduka frequentlyππππ. Nafikiria kumsaidia 500k Imsaidie katka kipindi hik Kigumu kwake ila nahisi pia ataichezea kamari...
NOTE: When You Bet, do it responsibly!! Acheni mihemko na tamaa.
Chizi huwa haponi...kuhusu kumpa hela bado nafsi yangu inakataa Labda hilo la kuisaidia familia yake.Kuhusu kumsaidi hukuwa na haja ya kutuambia, kama ni rafiki wako wa karibu we kamsaidie tu, na kama una woga ataichezea camari, find a way kumsaidia hata kupitia shemeji yako au mnunulie materials kumbuka: MLA HUWA PIA HULIWA
Chizi huwa haponi...kuhusu kumpa hela bado nafsi yangu inakataa kabda hilo la kuisaidia familia yake.
Imagination of getting beyond (more) what you have invested motivates them to do so.
Sio uharabu ni UraibuKamari ni urahabu kama urahabu mwingine tu