Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

Hii post imenichekesha sana asubuhi hii, nipo kazini mpaka msaidizi wangu ananiuliza boss kuna nini mbona unacheka mwenyewe.
Hahaha! BOSS usicheke sana pia achana na jf, huu ni muda wa kazi,sio kwamba nakupangia,ni ushauri tu coz nyie ma BOSS ni wa muhimu sana.
 
Kwa kwel kwa sku hz sjui hawa wabetishaji wanafanyaje,kuwin imekuwa ngumu sana,hatimae nmeamua kuiacha kazi hii,sasa npo nasomba matofali,ila nkikumbuka 2017/2016 mhindi(m-bet) Amelia sana
 
Kwa hakika sikupenda hii ishu niilete huku JF kwa sababu inahuzunisha tena kwa mtu mzima mwenye familia na majukumu chungu nzima halafu apoteze 3m (bonge la mtihani)...so nimeleta huku ili wale wenzetu mnaobeti sana mpate kujifunza namna ya kubeti kistaarabu.

Story kamili ipo hivi, Jamaa Yetu (sana) aliamua kujilipua kwa kuweka bets (mikeka) 10 @Sh.300,000 na yote ikaliwa juzi na jana. Hapa ninavyoandika jamaa ameshazimia zaidi ya mara tano na kuzinduka frequently😂😂😂😂. Nafikiria kumsaidia 500k Imsaidie katka kipindi hik Kigumu kwake ila nahisi pia ataichezea kamari...

NOTE: When You Bet, do it responsibly!! Acheni mihemko na tamaa.

Kuhusu kumsaidi hukuwa na haja ya kutuambia, kama ni rafiki wako wa karibu we kamsaidie tu, na kama una woga ataichezea camari, find a way kumsaidia hata kupitia shemeji yako au mnunulie materials kumbuka: MLA HUWA PIA HULIWA
 
Kwa kwel kwa sku hz sjui hawa wabetishaji wanafanyaje,kuwin imekuwa ngumu sana,hatimae nmeamua kuiacha kazi hii,sasa npo nasomba matofali,ila nkikumbuka 2017/2016 mhindi(m-bet) Amelia sana
😎😎
 
Kuhusu kumsaidi hukuwa na haja ya kutuambia, kama ni rafiki wako wa karibu we kamsaidie tu, na kama una woga ataichezea camari, find a way kumsaidia hata kupitia shemeji yako au mnunulie materials kumbuka: MLA HUWA PIA HULIWA
Chizi huwa haponi...kuhusu kumpa hela bado nafsi yangu inakataa Labda hilo la kuisaidia familia yake.
 
Mpe huu wimbo ausikilize vizuri

The Gambler

Kenny Rogers

On a warm summer's eve
On a train bound for nowhere
I met up with the gambler
We were both too tired to sleep
So we took turns a-starin'
Out the window at the darkness
The boredom overtook us,
And he began to speak

He said, "Son, I've made a life
Out of readin' people's faces
Knowin' what the cards were
By the way they held their eyes
So if you don't mind me sayin'
I can see you're out of aces
For a taste of your whiskey
I'll give you some advice"

So I handed him my bottle
And he drank down my last swallow
Then he bummed a cigarette
And asked me for a light
And the night got deathly quiet
And his faced lost all expression
He said, "If you're gonna play the game, boy
You gotta learn to play it right

You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done

Every gambler knows
That the secret to survivin'
Is knowin' what to throw away
And knowin' what to keep
'Cause every hand's a winner
And every hand's a loser
And the best that you can hope for is to die
in your sleep

And when he finished speakin'
He turned back toward the window
Crushed out his cigarette
And faded off to sleep
And somewhere in the darkness
The gambler he broke even
But in his final words
I found an ace that I could keep

You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done

You've got to know when to hold 'em (when to hold 'em)
Know when to fold 'em (when to fold 'em)
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done

You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done
 
Usimpe pesa yako kwani hiyo tabia hatoiacha we wacha azimie tu siku akija kukaa sawa lazima atakuwa amepata funzo na hatarudia tena.
Umenchekesha aisee....i can imagine your emotion right there!!😂😂
 
Every gambler knows
That the secret to survivin'
Is knowin' what to throw away
And knowin' what to keep
'Cause every hand's a winner
And every hand's a loser

Hahahaha he wasn't a Gambler
 
Every gambler knows
That the secret to survivin'
Is knowin' what to throw away
And knowin' what to keep
'Cause every hand's a winner
And every hand's a loser

Hahahaha he wasn't a Gambler
Two last lines of the poem are 🔥🔥
 
Back
Top Bottom