Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

[emoji120][emoji120]
 
Kamari haimwachi mtu salama....kwanza kubeti ni haram lakini watu wabishi na hawataki kusikia...mimi simpi pole kwenye upuuzi kama huu ambao Mwenyezi Mungu anaupiga vita....
Haramu!? kwani kakwambia alienda kubetia kanisani/msikitini?
 
Teh,yaan stake mil 6 halaf inaliwa unakuwa normal
Katika betting Kuliwa ni jambo LA kawaida sana.

Na unalazimika ulizoee.

Kiuhalisia,
Betting ni vita ya kiuchumi baina yako na Muhindi au Mrusi.

Ni kama ulivo mchezo wa kupokezana vijiti,

Leo kuliwa zamu yako, Kesho itakua ZAmU ya Muhindi/mrusi

Pia
Ukijiona unabet unakula tu, halafu hata hauliwi.
Jua kua sio bure, wewe ni lazima Utakua unamatatizo.
 
Kwenye kamari cheza kile ambacho hutajuta kukipoteza! we chezea ada za shule za watoto, kodi ya nyumba, mtaji wako ahayo matokeo yake
 
Hizo alizopoteza sio zake
Yeye yake ni 300 tu
Watu wamepotexa na kupata zaidi ya m10
300 kivipi wakati Kapoteza 3m? Au hujasoma tittle vizuri mkuu.
 
Duuh! we jamaa mtaji wako sh. Ngap? Kampuni gan unabetia?
 
alikosa hata wa kumsukia mkeka??! iwe fundisho na kwa wengine
 
Ndo uanaume huo maana hakuna biashara ya chapu ya kukuingizia kipato cha juu kwa wakati mfupi zaidi ya betting isipokuwa ukienda kichwa kichwa ndo inakuwa majonzi mazito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…