Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

co ulijuaje kuwa ukishaingia huwezi kutoka!!
Kwa akili yako na kutokana na swali lako unaamini kua kila kitu ni lazima ukifanye kwanza ndipo ujue madhara yake! gambling inakufanya unakua addicted ni sawa na wanaotumia drugs,swali lako ni sawa na kuuliza "unajuaje kua ukinywa sumu ya Panya utakufa?"
 
Daah nilikuwa nasoma hii mistari nikawa nahisi kama naangalia movie.
 
Mwambie aweke 50,000 tu kwenye account yake, anipe username yake na password nimuwekee mikeka, hadi kufika Jumapili pesa yake inarudi, sihitaji chochote kutoka kwake, only kumsaidia tu.
Daah mbona unajiamini hvyo? nifundishe na mm kubet
 
Ni timu mona aliiweka kwote ndokaliwa au
 
Oya mkuu ni pm tubadilishane uzoefu tupige pesa
huyo jmaa ni ndezi analiwaje M3 kizembe aje jukwaa letu tumpe tip arudishe mitonyo yake aisee mtaji mkubwa kama huo wa kupiga ela kabsa yahn.
 
Acha aliwe atakuwa aliiua simba ndo wajifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…