Jamaa kamuoa dada yake!

Inaelezwa kwenye Bible kuwa Mwenyezi Mungu alipoleta gharika, alimwambia Nuhu aingie kwenye safina. Ndani ya Safina Nuhu aliingia yeye na mkewe na watoto wake wa kiume wa3 kila mmoja na mkewe (achilia mbali wanyama).

Sasa hiki kizazi kilianza kuzaliana kutokana na hao watu 8 walionusurika na gharika. Hamuoni kuwa hawa walikuwa ndugu wa karibu kabisa lakini walianzisha taifa lao!
 

Hio mbona ruksa kabsa inaruhusiwa mkuu.....Inaruhusiwa kabsa hata kwenye bibilia ipo....kasome Mwanzo 28 to 32. Yakobo alioa watoto wa mjomba wake aitwaye Laban (kaka wa mama yake). Yakobo alioa wote wawili Lea na Raheli akazaa nao watoto wengi. Na Mungu alimbariki Yakobo alikua tajiri sanaaa !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…