- Thread starter
- #21
Inaelezwa kwenye Bible kuwa Mwenyezi Mungu alipoleta gharika, alimwambia Nuhu aingie kwenye safina. Ndani ya Safina Nuhu aliingia yeye na mkewe na watoto wake wa kiume wa3 kila mmoja na mkewe (achilia mbali wanyama).Aisay naoa kabisa....Sioni kosa hapo.
Na anaye sema kuna kosa siatakuwa mjinga aniletee vitabu vya Mungu wapi mungu kasema kosa...Hivi nyie bin-adamu mnajiona mna akili kuliko Mungu!!
Kama kungekuwa na kosa si Mungu angeisha sema zamani....since theres no where in the Qur'am or Bible that forbids...Wacha vijana wachangamkie watoto wa uncle zao.
Msilete sababu ya genetic and heriditary problems for your children....Wengine wakaogopa lakini sioni reason ya aina yoyote ukioa mtoto wa uncle yako mtoto atazaliwa ana problems...Mana kila kukicha naona watu wanaona vile, mtoto wa mjomba anaoa wa shangazi...na mtoto wa mamkubwa anao wa mamdogo...Sijasikia wamepata heriditary problems.
Mtoto kuzaliwa na health problems ni Amri ya Mungu c sababu zingine, Mungu tu, ndo kataka azaliwe vile.
Sasa hiki kizazi kilianza kuzaliana kutokana na hao watu 8 walionusurika na gharika. Hamuoni kuwa hawa walikuwa ndugu wa karibu kabisa lakini walianzisha taifa lao!