Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #21
Umugaka nimemtoa mbali sana huyu dogo....leo anatuita mimi na ally kuwa tuna majini? Ally alikuwa mpaka analala na mugaka kipindi hicho kitanda kimoja. Dogo hana shukran kabisa.We jamaa na mambo ya kishirikina damdamu ndio maana Umughaka anafichua mambo yako unakuwa mkali, basi tushakuelewa