Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #21
Umugaka nimemtoa mbali sana huyu dogo....leo anatuita mimi na ally kuwa tuna majini? Ally alikuwa mpaka analala na mugaka kipindi hicho kitanda kimoja. Dogo hana shukran kabisa.We jamaa na mambo ya kishirikina damdamu ndio maana Umughaka anafichua mambo yako unakuwa mkali, basi tushakuelewa
Wakati alikuwa anamlaza kwenye AUDI A4Umugaka nimemtoa mbali sana huyu dogo....leo anatuita mimi na ally kuwa tuna majini? Ally alikuwa mpaka analala na mugaka kipindi hicho kitanda kimoja. Dogo hana shukran kabisa.
Akili yako ni kubwa sana mkuu.Kuna dalili ya watu kupigwa hapa.
Kwahiyo tukisema Ally & UMUGHAKAAlly alikuwa mpaka analala na mugaka kipindi hicho kitanda kimoja. Dogo hana shukran kabisa
Oooohhh..... Shauri yako.... Mjini hapa. 🤣Wakati alikuwa anamlaza kwenye AUDI A4
Huyu dogo kidogo tu kaota mapembe. Mimi na Ami Ally Mahmoud au Ally Mpemba tumemtoa mbali sana. Huko nyuma hakuwa hivyo. Siku hizi mpaka anajua kutukana? Hii dunia hii.... Dunia tabuWakati alikuwa anamlaza kwenye AUDI A4