The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
Sijapata mkuu nisaidieULe uzi wangu wa vocha siuoni aisee,. Vipi ulishapata vocha nyingine au bado?
Pesa madafu, hata shingi mia haiachwi inapigwaVocha ya 500. Mahakamani
NomaDuh aiseee
Ngoja niwatag kwanza mods waurudishe uziSijapata mkuu nisaidie
Karbu na inboxNgoja niwatag kwanza mods waurudishe uzi
Leo nipo zangu kwenye daladala na kavocha kangu ka 500 nimeshakwangua tayari kwa kuingiza.
Wakati naingiza nilikuwa nahangaika maana kioo changu hakitachi vizuri. Jamaa wa jirani akawa anainakili fasta na kaiingiza. ilipokataa nikamdaka fasta meseji imeingia.
Kwakifupi tumepigana, nimemng'oa jino mpaka daladala ikasimamishwa na tukashushwa kwa nguvu.
Sasa nimemkariri nina mpango wa kumfikisha mahakamani kwa kosa la wizi.
Mawakili wasomi hii kesi imekaaje?
Ule uzi wako ulileta maneno huku hatariii,kuna watu walitukanana sanaNgoja niwatag kwanza mods waurudishe uzi
Duuh nlikua sijui aisee,. Shida ilikuwa nini?Ule uzi wako ulileta maneno huku hatariii,kuna watu walitukanana sana
Mimi ni mwalimu wa chuo kikuuTafuta kazi ya kufanya mkuu
Tafuta kazi ya kufanyaMimi ni mwalimu wa chuo kikuu