Jamaa kaniwahi kuingiza vocha yangu, hadi tumepigana

Jamaa kaniwahi kuingiza vocha yangu, hadi tumepigana

Duuh nlikua sijui aisee,. Shida ilikuwa nini?
Dah kuna waliopendezwa na ulichofanya na wengine hawakupendezwa.

Wana sababu zao ila sio za msingi sababu kama jambo halikupendezi na linawapendeza wengine basi wacha waneemeke wewe utulie.

Wengine walisema watoa vocha wanajiona wanazo sana

Wengine walizusha kusema kuwa vocha zote zinazotolewa Jf zimetumika so mnawachora

Wengine wakasema wanaotoa vocha ni wema hawana shida yoyote sababu wengine walikilikuzipokea na kushukuru.
 
Heeee

Nchi ina mambo mengi hiii😄😂
 
Hichi kituko kimewahi kufanywa na jamaa yetu mmoja. Tulikuwa tunasafiri ndani ya basi abiria mmoja alilinunua vocha. Ile amekwangua na kuanza kuingiza namba jamaa yetu aliziingiza chapchapu kwenye simu yake. Abiria anashangaa kujibiwa vocha imetumika. Karudiarudia jibu likawa ni lilelile ikabidi amshutukie jamaa yetu aliyekaa siti ya nyuma yake kuwa kaingiza namba hizo. Simu iliyoingiza namba hizo ikapigwa jamaa akaumbuka kesi ikaenda kumalizwa polisi
Noma sana mkuu
 
Leo nipo zangu kwenye daladala na kavocha kangu ka 500 nimeshakwangua tayari kwa kuingiza.

Wakati naingiza nilikuwa nahangaika maana kioo changu hakitachi vizuri. Jamaa wa jirani akawa anainakili fasta na kaiingiza. ilipokataa nikamdaka fasta meseji imeingia.

Kwakifupi tumepigana, nimemng'oa jino mpaka daladala ikasimamishwa na tukashushwa kwa nguvu.

Sasa nimemkariri nina mpango wa kumfikisha mahakamani kwa kosa la wizi.

Mawakili wasomi hii kesi imekaaje?
Wewe ndiye utaenda ufanye debe maana una kesi ya kumng'oa jino mtu! Kosa lakini kutumia silaha butu kumng'oa jino!
 
Back
Top Bottom