Jamaa kutambulisha ma-Ex girlfriend wake wote ukumbini

Sijakuelewa. Kwahiyo ka mtu ana watoto watatu kwa mama tofauti awatambulishe " mtoto wangu flani na mama ake wasimame" ...

Aah weee patachimbika. Hiyo sio heshima hata kidogo. Tena ni undezi uliopitiliza
 
We kufanya hivyo Ni ngumu hata kualika kwanza Ni kazi ndugu , huyo mama hawezi kuja kwanza , hata watoto wakiwepo kuwatambulisha Ni ujinga.
 
Ati Babu Big Sam....!!! Asprin

Huyu alipita jando la ukaguzi kweli...!???

Au alikuwa mtoro....!

Halafu sauti ya migombani hii...!๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Veeeeerry stupid man, stupid of all kind, stupid kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ