Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
JAMAA MMOJA KANIULIZA; HIVI MTIBELI UNAVYOWAKANDIA WANAWAKE UNAPATAGA KWELI WANAWAKE? JIBU LANGU NI HILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kati ya vitu ambavyo Sisi watibeli havijawahi kutusumbua ni upatikanaji wa wanawake.
2. Na sio ilimradi wanawake. Bali wanawake wenye sifa na vigezo. Hatuokoti okoti wanawake.
3. Wale wanawake ambao wanaogopwa na watu wengi wakawaida, wale wanawake ambao watu huhangaika kuwapata, wale wanawake wanaoonekana wa daraja la juu, sijui ma-feminist na wenye utambuzi hao sisi ndio chakula chetu.
4. Iko hivi; Kile ambacho unashida nacho huwezi kukipata kama haujajiwekewa standards. Kitu chochote ambacho hujajiwekea miiko, standards na ukawa na shida nacho huwezi kukipata.
5. Kitu chochote ambacho uta-lower you're standards ili ukipate kitu hicho basi huwezi kukipata, na ikitokea umekipata utakuwa mtumwa wa kitu hicho.
Hizo ni kanuni za Kitibeli.
6. Kwenye Fedha au uchumi, Yaani unashida ya kupata kipato cha milioni 1 mfano. Lakini uka lower standards na values zako ili upate hiyo million moja. Nakuhakikishia hiyo pesa hutoipata Abadan. Ndio Ile Kila ukijaribu kutunza pesa ikikaribia lile goal matatizo yanatokea pesa inadrop.
7. Hata kwa upande wa wanawake, wanawake wenye high standards wanapata wanaume wenye high value. Wanawake wenye kujiamini, wanawake wenye kupigania haki za wanawake chunguza wanafuatwa na wanaume wa daraja la juu. Huku wanaume wa kawaida wakiwaogopa.
8. Kadiri unavyojirahisisha iwe kimwili, kihisia, kimtazamo ndivyo unavyoshusha hadhi yako na kupoteza thamani ya kupata wanawake wakali na wenye daraja la juu.
9. Kuwaponda Wanaume sio tatizo. Ila unawaponda katika angle gani. Kama unawaponda kwa Jambo la haki na kweli. Watakaokuchukia na kujitenga na wewe ni low value man.
10. Unapowaponda Wanawake katika mambo ya Haki na ukweli. Wanawake watakaokuchukia ni wale Low value woman.
11. Nikijibu swali la jamaa ambalo wengi huweza kujiuliza;
12. Mtibeli suala la wanawake kwangu sio tatizo. Ninapata wanawake muda wowote niutakao bila kujipendekeza, bila kulialia, bila kupotezeana muda.
13. Wanawake wale ambao ni ndoto ya wanaume wengi Sana. Wale ambao wanaume wengine huwanyenyekea, huwaabudu, hutoa mapesa mengi,
14. Wakati wakija kwetu, wanawake hao hujiliza, huonyesha ule uanamke wao.
15. Ninachotaka kukisema, wewe kama Mwanaume, kiongozi, usiache kusema Kweli na kukemea maujinga kwa kuhofia kwamba hautapendwa.
16. Kukemea maujinga, ubaya, uchafu na kujiwekea standards ni sifa ya kiongozi. Haimaanishi kwamba unahukumu wengine, haimaanishi wewe ni mtakatifu. Bali unahitaji watu waache ujinga, uchafu, ubaya na wawe na standards zinazowapa heshima.
17. Huwezi ukapendwa na watu wa maana kwa kujipendeza. Kushindwa kusema ukweli.
18. Ni Bora uchukiwe kwa kusema ukweli kuliko upendwe kwa kujipendekeza na kunyamazia mambo.
19. Vijana wengi hukosa wanawake wazuri, wenye hadhi, wenye kazi na vipato vikubwa, wasichana kutoka familia kubwa kwa sababu hufikiri kujipendekeza, kushindwa kusema ukweli, kushusha standards zao ndio njia ya kuwapata wanawake wakali wanaojielewa.
20. Mfano, Binti mmekubaliana mkutane saa 2:00 jioni sehemu Fulani. Kijana unakiherehere, unapigapiga simu hovyo kama kichaa. Imefika saa 2:30 binti hajatokea unaendelea kusubiri unasubiri nini? Unapigapiga simu nini? Unatuma tuma meseji nini?
Mambo hayaendi hivyo Mzee. Acha kujidharau.
21. Haya unashindwa kuongea ukweli mbele za mwanamke kwa sababu unaogopa atakuacha. Seriously?
Ukiulizwa swali angalia dhamiri ya muuliza swali. Kisha angalia uhalisia na ukweli wa jibu la swali. Kisha changanya majibu. Yaani ukweli na dhamiri yake.
22. Mfano; unaulizwa Je kuoa Bikira ni muhimu kwako? Jibu swali bila kuogopa.
Mwambie ndio Bikra ni muhimu kwangu lakini sio Kila kitu kwangu. Bahati mbaya wewe sikuikuta. Hilo lilinisikitisha lakini haidhuru kwa mwanamke bikra sio kigezo pekee vipo vigezo vingine muhimu ambavyo naviona kwako na tutaendelea. Kisha unavitaja vigezo na sifa alizonazo zinazoonekana na anazozijua.
Hivyo ndivyo mambo yanaenda. Sio umbwele mbwele i
23. Ukishindwa kusema Ukweli hata mkeo atashindwa kukwambia Ukweli. Yatakuwa mahusiano ya kitapeli Sana. Ndio Ile unaambiwa kataa ndoa, ndoa ni utapeli kwa sababu ya wanandoa kuishi kwa unafiki nafiki.
24. Mwanamke akikuambia huna pesa huwezi kumu-afford unaanza ku-react unamrushia matusi. Nini wewe! 😂 Unakataa ukweli au
Ukweli haukataliwagi. Kadiri unavyoukataa ndivyo unavyojidhihirisha.
Kubali ni kweli hauna pesa au kama haujasoma utaona anaangalia ubora wako.
25. Iko hivi binti na vijana wangu. Kadiri unavyojitetea(kujikweza) ndivyo unavyoshushwa.
Yaani ukiambiwa ni Malaya. Kubali ni kweli wewe ni malaya. Na unasikitika kwa tabia hiyo uliyonayo. Unajaribu kuacha lakini unashindwa. Then utaona unayemwambia saikolojia yake juu yako inaendaje. Badala ya kuangalia udhaifu wako mwingine ataanza kuona ubora wako. Kwamba ni mnyenyekevu, hauna kiburi(hujikwezi na kujitetea katika unaya wako), na unatamani kubadilika. Lazima ashiriki kwenye mabadiliko yako.
26. Unapojitetea kwa udhaifu Fulani unatengeneza ufa wa watu kuona madhaifu mengine ambayo wanaokuponda hawakuyaona.
27. Unapokubali udhaifu Fulani unaziba ufa wa watu kuangalia madhaifu mengine na kuanza kuona mazuri yako. Hiya ni kanuni.
28. Unaambiwa unakibamia unaanza kurusha matusi. Kama ni kweli kubali. Sio unaanza kurusha matusi. Matusi ya nini sasa. Ukikubali unajenga njia ya mwenza wako kufurahia kibamia chako. Ukianza kurusha maneno kwa kukataa ukweli
Umekwisha. Usikubali kwa kujisikia vibaya.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Kibaha Maili Moja