Angekuwa Mnijeria bado tungesema. Yani kuu ni kwamba yeye ako non-partisan. Hana sababu ya kupendelea Kenya au Tanzania maanake mimi Mkenya nitapendelea Kenya nawe Mtanzania utapendelea Tanzania. Ungekua na akili ungefikiria hivo.Wakenya kwa kushadadia wazungu!
Yani mmeshindwa kusema Nairobi pamejengeka zaidi wenyewe mpaka mumtumie Mzungu?
Yani mzungu ndiye standard yenu?
Angekuwa Mnijeria bado tungesema. Yani kuu ni kwamba yeye ako non-partisan. Hana sababu ya kupendelea Kenya au Tanzania maanake mimi Mkenya nitapendelea Kenya nawe Mtanzania utapendelea Tanzania. Ungekua na akili ungefikiria hivo.
Ni kweli kabisa ila kwa slums bado Nairobi inaongozaHuyu mzungu ameishi Dar es salaam kwa muda sasa. Amefika Nairobi na kusema kwamba Nairobi ipo more developed than Dar es salaam
Kwa hiyo? Na Watanzania tuanze kuitukuza Nairobi kwa sababu ni kubwa kuliko Dar es salaam? Hapana kaka tuache na Dar yetu.Huyu mzungu ameishi Dar es salaam kwa muda sasa. Amefika Nairobi na kusema kwamba Nairobi ipo more developed than Dar es salaam