Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

Huyu mzungu ameishi Dar es salaam kwa muda sasa. Amefika Nairobi na kusema kwamba Nairobi ipo more developed than Dar es salaam
Wacha uzuz ni wapi amesema nyie mko mbele...pumba zimekujaa...
 
Sasa unakuwa zaidi ya mpuzi ....kwanza ukiwa timamu huwez conclude base on one person opinion sec ni kuwa mock amewa mock[emoji23][emoji23][emoji23]
An objective observation by a neutral person neither a Kenyan nor a Tanzanian, mbona uteseke sasa., kubali yaishe, wacha wengine wawe waamuzi na sio mkenya ama mtanzania..,
 
Ndiyo maana wanasema wao ni English speaking country, what country doesn't have their own language mpaka unashabikia a bloody colonial language and even when they talk they talk funny. Kenyans, it's time you need to assess yourselves for real, it's a shame. You still have judges there wearing wigs to resemble White people (colonial masters). You people have mental issues kwa kweli, what is it about wazungu that are driving you guys crazy?
Wakenya hawana identity yeyote Kama taifa

They are copycats ,pretenders ,haters , tribalists and many others shit stuffs
 
Wakenga hawana identity yeyote Kama taifa

They are copycats ,pretenders ,haters , tribalists and many others shit stuffs
Ndio mlidanganywa na mababu zenu hadi waleo hiyo propaganda ime watia chuki na wivu isio kuwa na sababu mwafaka, ni hadithi za vijiweni na propaganda.., endeleeni kuteseka.
 
Wamempeleka sehemu zilizo dekiwa tu.
Washuke naye mpaka kule kwenye flying toilets.
🤣🤣🤣
Licha ya hayo, yale kidogo ameyaona kulinganisha na dar yoote ambako anaishi, amesha conclude hakuna comparison.., bado mko ovyo.., CBD tu, nje kidogo 90%., ni uswazi tupu.., yaani maisha ya kimasikini ya mashambani mjini..,
 
Angekuwa Mnijeria bado tungesema. Yani kuu ni kwamba yeye ako non-partisan. Hana sababu ya kupendelea Kenya au Tanzania maanake mimi Mkenya nitapendelea Kenya nawe Mtanzania utapendelea Tanzania. Ungekua na akili ungefikiria hivo.
hawa wazungu ndo wameshikiria asiilimia 90 ya uchumi wenu na wale wazungu weusi kina -MOI na KENYATA while nyie ma lolife mnakaa vijiweni kwe slums za kibera mkinywa chang'aa mnakuja na hizi story?Kuja hapa next time weka vila yako hapo westland,muthaiga au karen kuliko kuongea huu ujinga.
 
Ndio mlidanganywa na mababu zenu hadi waleo hiyo propaganda ime watia chuki na wivu isio kuwa na sababu mwafaka, ni hadithi za vijiweni na propaganda.., endeleeni kuteseka.
ukimaliza gombana na watanzania unaamia ukikuyu na uluo ukitoka hapo utaamia kwe tajiri na maskini..your so devided you pathetic kunyans
 
ukimaliza gombana na watanzania unaamia ukikuyu na uluo ukitoka hapo utaamia kwe tajiri na maskini..your so devided you pathetic kunyans
You are sooo poor you pathetic Tanzania, mafukara wa EAC kwa kila kitu.., mnavuta mkia., na kuangukia pua in many ways! mnatia huruma sana..,
 
hawa wazungu ndo wameshikiria asiilimia 90 ya uchumi wenu na wale wazungu weusi kina -MOI na KENYATA while nyie ma lolife mnakaa vijiweni kwe slums za kibera mkinywa chang'aa mnakuja na hizi story?Kuja hapa next time weka vila yako hapo westland,muthaiga au karen kuliko kuongea huu ujinga.
Ukweli imekutesa roho, vumilia jamaa, jikubalini mtapona siku moja., but not in this current generation, mliolishwa propaganda na uwezo finyu wa kifikra.
 
1625303375686.png
 
Ukweli imekutesa roho, vumilia jamaa, jikubalini mtapona siku moja., but not in this current generation, mliolishwa propaganda na uwezo finyu wa kifikra.
sawa agiza chang"aa ntalipia mimi while kenya keep on fuckin your economy
 
hawa wazungu ndo wameshikiria asiilimia 90 ya uchumi wenu na wale wazungu weusi kina -MOI na KENYATA while nyie ma lolife mnakaa vijiweni kwe slums za kibera mkinywa chang'aa mnakuja na hizi story?Kuja hapa next time weka vila yako hapo westland,muthaiga au karen kuliko kuongea huu ujinga.
We already established all the 20 richest men in Tanzania are either Arabs or Indians. In Kenya, no white man ranks in the top 20 so wacha kuturudisha kwenye topic ambazo tumemaliza.
 
Hakuna kitu kama hicho. Tundu Lissu is not Miguna Miguna equivalent. Tundu Lissu ndiye officiall opposition leader wa Tanzania. Mtu ambaye alimaliza number mbili katoka uchaguzi. Equivalent ya Raila Odinga huku Kenya.
Opposition wana rights sio kupigwa risasi. Unanikumbusha era za maiti Moi.

Nani kakuambia!!? Yaani yule lisu ambaye bangi zinaongea ndiyo umlinganishe na Raila!!? Yule ambaye alikuwa akizunguka huku na huku kabla ya 2015, na kusema lowasa ni fisadi. Lkn baada ya kulambishwa asali wakaanza kumnadi, eti anagombea urais. Mtu muadilifu kama Dr. Slaa, akaamua kuwapisha, ili asiwe sehemu ya kula matapishi yao.
 
Yani bado mnashare this article from 2015 yenye hata hamkuielewa? 🤣 🤣

QS acha unaniangusha bana.
Wewe umesoma kweli tarehe ya hilo gazeti? Lkn pia do you really know what does $ 3 bln diffence mean? Again, we'll be using these findings until and when the new report is out or published.
 
we ni mjinga sana sabatical kafika tanzania for the first time last year video zake anafanya masaki upanga posta you are useless kabisa
 
Pamoja na collabo na wazungu kuwajengea angalau bado mnataabika kutafuta comapativity.
Mpako hapo tu unatakiwa utoe shikamoo kwa wabongo.
Oya neno "Comapativity" sio neno la kizungu. Pengine ni neno la kisukuma huko kwenu.
 
  • Kicheko
Reactions: mmh
Back
Top Bottom