Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

Wamempeleka sehemu zilizo dekiwa tu.
Washuke naye mpaka kule kwenye flying toilets.
🤣🤣🤣
Amejipeleka mwenyewe. Sisi hatujampeleka popote. Anajipeleka anakotaka yeye mwenyewe.
 
we ni mjinga sana sabatical kafika tanzania for the first time last year video zake anafanya masaki upanga posta you are useless kabisa
Ameishi huko kwa zaidi ya mwaka mmoja. Yeye ni mwenyeji wa Tanzania. Video zake nyingi amezishoot Tanzania. Nyinyi ndio mlimfunza kuongea kiswahili. Amefika Kenya na baada ya dakika ishirini ameshajiridhisha kwamba Nairobi imeendelea zaidi kushinda Dar. Hayo sio maoni yangu hayo ni maoni yake. Najua inachoma lakini itabidi umeze tu.
 
Ameishi huko kwa zaidi ya mwaka mmoja. Yeye ni mwenyeji wa Tanzania. Video zake nyingi amezishoot Tanzania. Amefika Kenya na baada ya dakika ishirini ameshajiridhisha kwamba Nairobi imeendelea zaidi kushinda Dar. Hayo sio maoni yangu hayo ni maoni yake.
Bro sipo hapo kubishana kama dsm au nairobi wapi pameendelea kwangu mimi huwa naona ni ujinga tutu, huwa na spend most of my bundle data ku peruse vlogs za hawa jamaa wa tourism...huyu mtu kaingia Tz last year by fluke baada ya kuona hakuna restrictions za covid 19
Huwa anaakuja na kuondoka, siyo kwamba kakaa mwaka mmoja kamili , go through his videos...halafu very soon utamchukia kama umefurahia hiyo CBD ya nairobi kuonyeshwa

style yake ni tofauti videos zake ni raw ngoja aende kibera ndipo utafurahi sasa...tena if you judge hizi cities through his videos basi you should check his kampala videos ndipo utashangaa kaonyesha slums tu..i have been to nairobi,kampala najua ninachoongea

nairobi ukitoa CBD yake na zile estates ukifika kibera ni another world kwa kweli hutakuta slums kubwa vile dar es salaam never
Kuna wazungu wengi wa you tube wameitendea haki dar esalaam huyu hata kigamboni kashindwa ku i shoot, simlaumu sana hayuko hata level ya kina Drew brisky
 
QS acha unaniangusha bana.
Wewe umesoma kweli tarehe ya hilo gazeti? Lkn pia do you really know what does $ 3 bln diffence mean? Again, we'll be using these findings until and when the new report is out or published.
I'm not a QS,
Do you know what the value of real estate mean? Do you know how many times Nairobi and Mombasa have been ranked top 10 in the world in real estate dynamism, momentum, growth and innovation na hatupigi Kelele halafu hako kareport mmekaovershare kila Mahali Hadi FB, Twitter na hata real life?
 
Bro sipo hapo kubishana kama dsm au nairobi wapi pameendelea kwangu mimi huwa naona ni ujinga tutu, huwa na spend most of my bundle data ku peruse vlogs za hawa jamaa wa tourism...huyu mtu kaingia Tz last year by fluke baada ya kuona hakuna restrictions za covid 19
Huwa anaakuja na kuondoka, siyo kwamba kakaa mwaka mmoja kamili , go through his videos...halafu very soon utamchukia kama umefurahia hiyo CBD ya nairobi kuonyeshwa

style yake ni tofauti videos zake ni raw ngoja aende kibera ndipo utafurahi sasa...tena if you judge hizi cities through his videos basi you should check his kampala videos ndipo utashangaa kaonyesha slums tu..i have been to nairobi,kampala najua ninachoongea

nairobi ukitoa CBD yake na zile estates ukifika kibera ni another world kwa kweli hutakuta slums kubwa vile dar es salaam never
Kuna wazungu wengi wa you tube wameitendea haki dar esalaam huyu hata kigamboni kashindwa ku i shoot, simlaumu sana hayuko hata level ya kina Drew brisky
Hahaha. Sawa. Lakini usiumie sana. Ni maoni yake tu na kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake.
 
He said Nairobi is the richest and also has the most big city feel. Watakuambia Nairobi ni kamji kadogo.
(Kenya got the nice restaurants, good roads) n.k[emoji1787][emoji1787]
Jamaa kazunguka miji yote ya east africa na ywaijua poa
 
for God sake Nairobians jamani tunajua central business district ya nairobi iko poa , lakini reference yenu ni sabattical kweli????kwa mtu kama mimi ninayeshinda you tube nawashangaa kama unataka kuingalia dar esalaam vizuri naweza kukupa links videos za (HAO WAZUNGU MNA O WA WORSHIP)
Huyu jamaa soon anaingia kibera nita upload video yake hapa ila I like kenyans kwenye hii clip wamekuwa rude apart from the bodaboda driver yuko jamaa kamuuliza are you FBI?(somehow the kenyan was right..who knows kuhusu hawa watu?)

Video zake za Uganda zilionyesha slums tu
 
Hahaha. Sawa. Lakini usiumie sana. Ni maoni yake tu na kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake.
Niumie ya nini ? mimi huwa naumia simba sc ikifungwa tu au chama changu cha chadema kikizenguliwa mengine kwangu ujinga tu
structure ya dar es salaam na nairobi ni tofauti kabisa,tena mnoo style ya nairobi CBD kwa sasa huku inajengwa nje ya city centre ya dsm
mji wetu umejengwa style ya miji ya kiarabu unabadilika siku hizi
 
Kuna siku nilikuwa nimeenda ofisini kwa mshua.

Kufika pale ofisi ya nje kwa sekretari, nikakuta watu wengi wanasubiri kumuona mkuu.

Nikaunga treni kukaa kusubiri. Tulikuwa weusi watupu.

Mshua akimaliza kuongea na mtu, anamtoa ofisini kwake mpaka ofisi ya nje kwa sekretari. Akawa anaona mstari mzima ulivyokaa nani anakuja next.

Sasa, akaja mzungu. Sekretari akamshobokea mzungu. Akamuweka mzungu mwanzo wa mstari apite watu wote waliokuwapo.

Mzungu akaenda kumuona mshua.

Basi mimi mtoto wa nyumbani nikawekwa mwisho. Nilivyomaliza, mshua akamsema sana yule sekretari.

Akamwambia, usimpitishe mtu kuruka mstari kwa sababu ni mzungu tu. Yule mzungu uliyemrusha mstari ni tapeli tu. Kuna watu wana biashara kubwa umewaacha umewaruka, umemtanguliza mzungu tapeli tu.

Sasa hawa ndugu zetu nao habari za kumshadadia mzungu wamenikumbusha sekretari wa baba yangu.
Hakuna mzungu aliyeshadadiwa hapo[emoji1787] au basi km unaumia sana tuonyeshe videoa akisema dar iko verry kuliko nairobi
 
(Kenya got the nice restaurants, good roads) n.k[emoji1787][emoji1787]
Jamaa kazunguka miji yote ya east africa na ywaijua poa
umeangalia videos zake ? ingia you tube peruse videos zake zote...kwa dsm alikuwa anakula local joints za mama lishe ,akiombwa hela anasema mimi ni mzungu maskini ,analala AIR bnB...mnanichekesha sana kwa kweli nilidhani watu wa nairobi ni wajanja kumbe mna display ujinga wenu hapa, yaani sabatical ni reference yenu? mtafute basi DREW Brisky huko you tube
 
hawa wazungu ndo wameshikiria asiilimia 90 ya uchumi wenu na wale wazungu weusi kina -MOI na KENYATA while nyie ma lolife mnakaa vijiweni kwe slums za kibera mkinywa chang'aa mnakuja na hizi story?Kuja hapa next time weka vila yako hapo westland,muthaiga au karen kuliko kuongea huu ujinga.
Babu yako kule lolliondo ndio kakwambia hvo[emoji1787]
 
for God sake Nairobians jamani tunajua central business district ya nairobi iko poa , lakini reference yenu ni sabattical kweli????kwa mtu kama mimi ninayeshinda you tube nawashangaa kama unataka kuingalia dar esalaam vizuri naweza kukupa links videos za (HAO WAZUNGU MNA O WA WORSHIP)
Huyu jamaa soon anaingia kibera nita upload video yake hapa ila I like kenyans kwenye hii clip wamekuwa rude apart from the bodaboda driver yuko jamaa kamuuliza are you FBI?(somehow the kenyan was right..who knows kuhusu hawa watu?)

Video zake za Uganda zilionyesha slums tu
Actually, the only place that Dar can at least compete with Nairobi is the CBD. Ukienda kwa mitaa Dar hainusi Nairobi hata. I have seen those videos. Your high end estates especially are very underwhelming. Wewe linganisha hizi video mbili halafu uniambie.

About rudeness, hilo Wakenya tumejikubali tuko rude because we embraced capitalism earlier hence learnt going straight to the point and saying what we mean and meaning what we say.

I'm not a QS,
Do you know what the value of real estate mean? Do you know how many times Nairobi and Mombasa have been ranked top 10 in the world in real estate dynamism, momentum, growth and innovation na hatupigi Kelele halafu hako kareport mmekaovershare kila Mahali Hadi FB, Twitter na hata real life?

But the other time you declared to be one of them.

Bro before we go further, I would like to ask you to tender for authorities to substantiate your arguments.
 
Nani kakuambia!!? Yaani yule lisu ambaye bangi zinaongea ndiyo umlinganishe na Raila!!? Yule ambaye alikuwa akizunguka huku na huku kabla ya 2015, na kusema lowasa ni fisadi. Lkn baada ya kulambishwa asali wakaamza kumnadi, eti anagombea urais. Mtu muadilifu kama Dr. Slaa, akaamua kuwapisha, ili asiwe sehemu ya kula matapishi yao.
Lissu kw sasa ndio mpinzani mkubwa tanzania, we ukitaka lia sasa..
Sijaona nchi karne hii ya sasa opposition leader anaishi km yatima, hyo utakuta katika banana republics tu km vile tz, somalia
 
umeangalia videos zake ? ingia you tube peruse videos zake zote...kwa dsm alikuwa anakula local joints za mama lishe ,akiombwa hela anasema mimi ni mzungu maskini ,analala AIR bnB...mnanichekesha sana kwa kweli nilidhani watu wa nairobi ni wajanja kumbe mna display ujinga wenu hapa, yaani sabatical ni reference yenu? mtafute basi DREW Brisky huko you tube
Km ukweli ndio ujinga kwako, pole sana[emoji1787][emoji1787]
Unless uniletee video akisema dar iko very kuliko nai km alivyosema kw hii video, alafu tatizo nyie ndio washamba wakupindukia..eti mnamuomba hela kisa mzungu, uzembe ni kitu kibaya sana mazee kw nairobi uliona nani akimuomba hela..
Ndio manake tunasema dar imejaa wazembe

Eti kisa kasema yeye mzungu maskini basi hafai kusema ukweli[emoji2960][emoji2960]
 
Km ukweli ndio ujinga kwako, pole sana[emoji1787][emoji1787]
Unless uniletee video akisema dar iko very kuliko nai km alivyosema kw hii video, alafu tatizo nyie ndio washamba wakupindukia..eti mnamuomba hela kisa mzungu, uzembe ni kitu kibaya sana mazee kw nairobi uliona nani akimuomba hela..
Ndio manake tunasema dar imejaa wazembe
ukimaliza kula githeri uende kunya halafu hayo matako usafishe na maji maana hapo nairobi mnatembea na mavi kwa matako eti mnajiita wazungu mnatumia toileti papers tu, pumbavu
 
Ndio mlidanganywa na mababu zenu hadi waleo hiyo propaganda ime watia chuki na wivu isio kuwa na sababu mwafaka, ni hadithi za vijiweni na propaganda.., endeleeni kuteseka.
Hakuna mtz anateseka kisa kenya .

Kwa lipi ambalo mnalo la kututushia.

Nyie ndio mnateseka mnaiwaza tz kila wakati .

Huu Uzi hapa Ni kithibitisho tosha kwamba mnaweweseka[emoji1]

Umenisoma bwana nyang'au.

Nenda kachambe na maji kwanza ndio uje ulete ubisha hapa toilet paper inawafanya muwe na kimavi muda wote[emoji1787]
 
Back
Top Bottom