Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

Kuna siku nilikuwa nimeenda ofisini kwa mshua.

Kufika pale ofisi ya nje kwa sekretari, nikakuta watu wengi wanasubiri kumuona mkuu.

Nikaunga treni kukaa kusubiri. Tulikuwa weusi watupu.

Mshua akimaliza kuongea na mtu, anamtoa ofisini kwake mpaka ofisi ya nje kwa sekretari. Akawa anaona mstari mzima ulivyokaa nani anakuja next.

Sasa, akaja mzungu. Sekretari akamshobokea mzungu. Akamuweka mzungu mwanzo wa mstari apite watu wote waliokuwapo.

Mzungu akaenda kumuona mshua.

Basi mimi mtoto wa nyumbani nikawekwa mwisho. Nilivyomaliza, mshua akamsema sana yule sekretari.

Akamwambia, usimpitishe mtu kuruka mstari kwa sababu ni mzungu tu. Yule mzungu uliyemrusha mstari ni tapeli tu. Kuna watu wana biashara kubwa umewaacha umewaruka, umemtanguliza mzungu tapeli tu.

Sasa hawa ndugu zetu nao habari za kumshadadia mzungu wamenikumbusha sekretari wa baba yangu.
Kenyans wana mental issues kwa kweli, tena wana ongea with pride kuwa wao wanaongea British English when nobody undestands them as wanaongea kwa Kenyan accent. Every country needs to have their own identity and a language is one of them NOT bloody colonial languages.
 
Kwenu kunao kwetu kunao. Ila hutatupata Sisi tukishinda tukiposti was kwenu maanake hatuna inferiority complex kama nyie.
hamjijui tu jinsi mlivyo wajinga kabisa mkiona wazungu manatetemeka kweli , inferiority complex hatuna tunapenda sana vya kwetu ndiyo maana bongo fleva, taarabu, bongo movie,azam tv,ligi ya soka zina flourish, tunajipenda sanaa siyo nyie mkipata NOD ya wazungu mnachanganyikiwa kabisa
 
Mama samia nae mzungu[emoji1787][emoji1787]
Unakumbuka alisema nini hivi majuzi katika ziara yake ya nairobi..
Tatizo watanzania ukweli kwenu sumu, yani mtazania akiambiwa ukweli basi huwa mkali kweli na kujitia muungwana
 
Wewe hata nikikuuliza mzungu ni nani sijui kama utaweza kunijibu.

Mimi kwangu New York City, kama kweli unataka kushindanisha miji niambie tushindanishe Nairobi na New York City.
New York city sio mji wako mzee. You are just an immigrant in New York city. Mji wako ni Dar es salaam na Nairobi city imeichapa vibaya sana.
 
Lol @ Amu 'NGOING' tu bayi breeedy. Guys just speak Kikuyu, we will try to understand you.
E5emgM2XoAI-L00.jpeg
 
hamjijui tu jinsi mlivyo wajinga kabisa mkiona wazungu manatetemeka kweli , inferiority complex hatuna tunapenda sana vya kwetu ndiyo maana bongo fleva, taarabu, bongo movie,azam tv,ligi ya soka zina flourish, tunajipenda sanaa siyo nyie mkipata NOD ya wazungu mnachanganyikiwa kabisa
Hilo ni lenu, ndio maana kila siku kujichibua na kushobokea weupe was Rangi ya mwili.
 
Afu going wanatamka ngoing pumbafff English speaking kiss my black as.
Lol @ Amu 'NGOING' tu bayi breeedy. Guys just speak Kikuyu, we will try to understand you.
Andú a wúiru nímaheo redikadi! 😄
Lugha zetu za asili na lafudhi zake zote, mnazosema ni mbovu, ndio urithi wetu. Tena tunajivunia sana, sio kama nyie vinyangarika na uswahili wenu ndomboloo.
 
Sio uwongo NAIROBI Imeizidi Dsm kwa miundombinu
Mimi ni Mtanzania lkn Nmekaa pale Nairobi so naongea sio kwa kupendelea.bridges and fly over just everwhr in city center.ila nje ya Nairobi sina hakika
Lkn Dsm ni kubwa pia kulinganisha na Nairobi
 
hamjijui tu jinsi mlivyo wajinga kabisa mkiona wazungu manatetemeka kweli , inferiority complex hatuna tunapenda sana vya kwetu ndiyo maana bongo fleva, taarabu, bongo movie,azam tv,ligi ya soka zina flourish, tunajipenda sanaa siyo nyie mkipata NOD ya wazungu mnachanganyikiwa kabisa
Bongo fleva ni ujinga tu si muziki wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom