watanganyika wanapenda sana kujiringanisha na kenya, sababu, hadi ujiringanishe na nchi inayokupa challenge ndo uzi iwe na maana na pia ili ipate kunoga zaidi.. yani kwao itakua ni ku waste tyme kujibeba na nchi kama uganda ama rwanda hivi.. hehe.. 😆