Jamaa niliyekuibia mpenzi wako jifunze, mwanamke mzuri hafokewi

Jamaa niliyekuibia mpenzi wako jifunze, mwanamke mzuri hafokewi

Umekutana na malaya aliyechangamka. Hakujui, haumjui, kisa kafokewa na bwana ake akaishia kuliwa kimasihara kwa care za bundle na wine [emoji23] kapime isije ikawa umeungwa ktk grid ya taifa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa kaja kututambia alivyokula Malaya😂
Tatizo mwamba ni mshamba hata ukifuatilia thread zake nyingi utashangaa yaani kuna vitu mwanaume ukifanya hutakiwi kuhadisia kwa watu sababu sio sifa au bado ni mdogo kiumri

Mim nikienda bar au sehemu ya starehe sitaki mazoea na mwanamke yeyote yule sababu zama hizi udangaji ni professional kwa baadhi ya wanawake
 
Wewe mchukue tuu. Mimi nimeshamchosha. Mtu gani hawezi hata kujinunulia maji?

Usisahau kulinda afya yako.
Jamaa anajiona mjanja kulala alipoamkia mkulungwa haha😂😂
 
Jamaa sikutegemea kama ni mshamba hivi
Mim nikienda bar au hotelin sitakagi mazoea na mwanamke yeyote yule najua pigo zao unless kama nawahitaji na siwezi enda hadisia mtu sio sifa
Ila mwamba anakuja kujisifia bila hata aibu
Ni aibu mno kujisifia mwanamke wa kutongoza na kusex siku hiyo hiyo.
Ona anaomba mara vocha mara vocha ya dogo...hizo zote ni dalili za mlupo
 
Wikendi jana nilikuwa zangu kanda ya ziwa. Nikafikia lodge moja yenye sehemu nzuuuri ya kutulia na kula kinywaji.

Nyakati za jioni nikatoka nje kupunga upepo,kunywa wine huku nikipitia nyuzi za wakuu Jamiiforums. Pembeni kidogo kulikuwa na mtoto mzuri lakini anaonekana mapepe kama wale watoto wa Insta. Lakini yule mtoto hakuwa na raha. Muda mwingi alifokeana kwenye simu na mtu aliyeonekana ni bwana wake.

Mtoto alisikika akimlalamkia jamaa kwamba haiwezekani amuweke pale toka mchana kakaa hata hela ya maji hana. Basi kama kashindwa amtumie nauli aondoke. Kama kawaida mfariji nikaona fursa, nikavuta kiti karibu na kuagiza vinywaji kwa ajili yake. Ikawa akitaka bundle nampa, akitaka dakika nampa. Akaniambia anaishi na mdogo wake, nikamwambia na yeye tumnunulie bundle. 😂😂😂😂

Saa moja baadae nikamwambia tuingie chumbani tusije kufumaniwa. Tukachoma ndani kupitia mlango wa nyuma. Ikipofika saa 1 kagiza jamaa ndio anatia timu. Piga sana simu piga sana simu. Tuma sana sms. Kimyaaa.

Ujumbe wangu kwenu muache kufokea wapenzi wenu, hasa wanapokuwa hawana makosa. Onyesheni ukomavu na mapenzi ya dhati. Msipofanya hivyo mtalaumu wengine bure.
Kifupi hakuna wa kukulaumu watu wanakucheka tu kuwa unaibiwa kwa style ya zamani sana ya miaka ya 2000s wewe wanaitumia kwako 2023. Ni aibu sana. Hukupaswa hata kusimulia kwa majidai ungesimulia kwa kujuta kuwa kanda ya ziwa wamekuingia choo cha kike kibwege sana. Wamekuokota. Ni aibu
 
Back
Top Bottom