wanaume wa mkoani hatuna hizo mambo...uyo atakuwa mwanaume wa jiji la makondaSiku hizi wanaume mnajitahidi kwa majungu mnaanza kuwazidi hata wanawake
Na wewe tafuta boyfriend wako wa NBA acha wivu wa kike.mimi sio hater
Dada zetu povu ruksa,
Wanawake wa kibongo huwa wanajua kila mnyamwezi ni mnyamwezi kwelikweli,wanyamwezi wngine ni kama wakina Papa Mafido,bado wanaprint .
kumbe shemeji yenu njaa tu ligi anayocheza huwa kuna kipindi inapita hata miezi minne hawajapewa posho,ingekuwa Bongo ni kama ndondo.Na Mange miguu mibaya naye akasema eti jamaa ni ana hela Afrika nzima sijui alitumia vigezo gani? yaani jamaa hata akija Bongo kwenye mastaa mia hayumo kabisa ata kwa Aslay hafuati achilia mbali vijana wa pale WCB.
Sasa hivi dunia nzima wwanaume bora Tanzania bado inaongoza,dada zetu acheni kuhangaika hangaika
NBA ni sawa na ndondo kweli? Hata ligi kuu ya bongo haisogezi pua kwa muokota mpira wa NBA!Aaah acha hizo hela atakua anazo mbona hashim thabiti mwenyewe alikuaga ndondo ya basketball na hela alikuaga nazo mkuu
Umempatia bonge la ushauri kazi kwakeVip mbona unagombewa waume za watu.
Tafuta wako bana. Maana unateseka sana
Mzee Hashim Thabiti aliishia kwenye draft akaanza kuzingua au huelewi hakufika NBANBA ni sawa na ndondo kweli? Hata ligi kuu ya bongo haisogezi pua kwa muokota mpira wa NBA!
kwani wanugu wengine wana asili ya ChinaMnugu mwenye asili ya Nigeria.
**** boy tu.
NBA ni sawa na ndondo kweli? Hata ligi kuu ya bongo haisogezi pua kwa muokota mpira wa NBA!
Kweli!kwani shemeji kwa mobetto anacheza NBA? kama yupo NBA kauchinja... ila isije kuwa ligi za mchangani maana NBA ilivyo busy miezi hii yeye anatongoza mademu.. mmh