Jamaa yake Mobetto anacheza ndondo ya basketball Marekani,hata kwa Aslay bado anasubiri sana.

Jamaa yake Mobetto anacheza ndondo ya basketball Marekani,hata kwa Aslay bado anasubiri sana.

Mobetto ni mdangaji,alijaribu kudanga kwa Simba kwa kuifanya mimba kuwa mtaji na kitega uchumi
 
Tukiwa enzi za shule ya msingi kuna kitabu tulisoma kina hadithi ya Sungura inasema sizitaki mbichi hizi. Sasa mwanaume mzima unamponda mobeto kuwa mtu wake si lolote kama mastaa wa bongo. Wewe unafaidika na nini akiwa nazo na kinakuuma nini yeye kutokuwa nazo! Yaani ukaona ulete humu kama taarifa. Hii ni zaidi ya kizabinazabina
 
mimi sio hater
Dada zetu povu ruksa,
Wanawake wa kibongo huwa wanajua kila mnyamwezi ni mnyamwezi kwelikweli,wanyamwezi wngine ni kama wakina Papa Mafido,bado wanaprint .
kumbe shemeji yenu njaa tu ligi anayocheza huwa kuna kipindi inapita hata miezi minne hawajapewa posho,ingekuwa Bongo ni kama ndondo.Na Mange miguu mibaya naye akasema eti jamaa ni ana hela Afrika nzima sijui alitumia vigezo gani? yaani jamaa hata akija Bongo kwenye mastaa mia hayumo kabisa ata kwa Aslay hafuati achilia mbali vijana wa pale WCB.
Sasa hivi dunia nzima wwanaume bora Tanzania bado inaongoza,dada zetu acheni kuhangaika hangaika
Na wewe tafuta boyfriend wako wa NBA acha wivu wa kike.
 
Mobetto hajamaliza mwezi marekani ashaanza kudanga hayo mahusiano au rehearsal?
 
Kwahiyo mkuu umeumia sana mobetto kuliwa na jamaa au?
 
Yan hamisa kaenda juzi tu marekan hata wiki mbili hana tayari ameshavuliwa chupi na anajitanua tu huku ni kutudhalilisha inaonesha kias gan dada zetu wanavyoloa papuchi zao mbele ya wanaume wa kigeni na wao hawafanyi makosa wanapita nazo wimawima..alafu watu eti wanamshabikia wakat ni malaya kama malaya wengine
 
Back
Top Bottom