Jamaa yake Mobetto anacheza ndondo ya basketball Marekani,hata kwa Aslay bado anasubiri sana.

Jamaa yake Mobetto anacheza ndondo ya basketball Marekani,hata kwa Aslay bado anasubiri sana.

1541680931226.jpg
 
Kwa hizi comments Jamaa aliyeanzisha Uzi huu hakanyagi tena humu ndani!!

Ila kiukweli Mwanaume unaanzishaje thread ya hivi?
Unamuonea wivu mwanamke au?

Kama hana pesa wewe shida yako nini?

Au ndio nyie unataka Dada aolewe Na mwenye pesa ili ukawe unalala seblen kwa Shemeji yako?
 
Umezungumzia Umaarufu Sawa Aslay Kampita
Vp Hujazungumzia Kipato Je Vimefanana Na Hao Maarufu Uliowataja?
 
Dada anataka aoshe hivi amuonyeshe ex wake kuwa ka move on kumbe ilihali anatamani kurudi yaani mond akisema misa ticket uje canada anaenda so muache ajiliwaze US kidogo
 
Write your reply...
dah mi naona bora uwe masikini marekani kuliko Kuwa tajiri bongo,
 
Huyo mobetto akiondoka tu US penzi limekufa,
Tatizo la kutafuta mwanaume kinguvu uonekane nawe wamo ndio mana picha zote zimepigwa siku moja tu
 
Yan hamisa kaenda juzi tu marekan hata wiki mbili hana tayari ameshavuliwa chupi na anajitanua tu huku ni kutudhalilisha inaonesha kias gan dada zetu wanavyoloa papuchi zao mbele ya wanaume wa kigeni na wao hawafanyi makosa wanapita nazo wimawima..alafu watu eti wanamshabikia wakat ni malaya kama malaya wengine
Hakuna formulae moja ya maisha.
 
Majizzo na Diamond watoto wenu watapata green card very soon
 
Mkuu,kwani mama yako wakati anampenda baba yako huyo baba yako alikuwa na fedha kiasi gani na alikuwa anacheza ligi daraja la ngapi?
 
Back
Top Bottom